Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.

Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.

Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).

Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.

Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.

Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.

Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.

Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.

Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.

Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.

Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074
Yaani ujue mikataba ya Kenya, ila ya Tanzania huijui!
 
Wale wa nchi ya mizimu hawataki kusikia hii fusra cuz hawataki wananchi wanufaike bila wao kunufaika pakubwa 😔
 
huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).
Nchi gani mafuta hayajapanda bei? Leo ukilinganisha na 2023? Commodity markets ni volatile sielewi hii hoja umeiweka hapa as if iko driven na variable moja tu ya Dangote refinery na sio price shocks sababu ya vita, supply chain bottlenecks, uncertainty n.k

Baki kuchambua ujasusi wako uchwara mambo ya uchumi achana nayo
 
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.

Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.

Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).

Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.

Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.

Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.

Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.

Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.

Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.

Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.

Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074

Uwezo wako wa kupambanua hoja ni wa zile siasa za maji machafu na kuchukua story za mtandaoni kisha kusema unaandika vitabu.

Unamzuiaje tajiri kwa mfano? Akijenga refinery, anajua atapata wapi malighafi. Kama Uganda itakataa, hata South Sudan wana mafuta, as we speak....

Tunakwama wapi kujiongeza na kujua we are not in control of everything in the world? Kuna games lazima upambane kuwa mkubwa ili uweze kucheza...

Tuendelee na tunayoyaweza....ya siasa zetu za kijingajinga
 
Nilijua tu minyumbu lazima imtukane mleta mada kwasababu Uzi wake umeangazia athari za hiko kiwanda badala ya matusi au kumponda Samia 🤣🤣🤣

Wanadekrasia haooooo wanataka nchi waiendeshe kidemokrasia.
Sasa huoni ni demokrasia, maana CCM ingemeteka na kumuua!!

Kingine anapingwa sababu hoja haina tija, yaani Dangote akiwekeza bongo ni faida ila akienda Kenya ni hasara??

The fact that alikataa kuwekeza hapa na kwenda kwingine ni failure hata kama mtaisafisha vipi. Maana ina sound alarm kwa wafanyabiashara wengine kuwa doing business in Tanzania ni ngumu kuliko Kenya.

Ona tu mradi wa gesi ya kusini, mwaka wa ngapi huu mazungumzo hayaishi!!
 
Mpumbavu wewe mjinga . Gharama ya mafuta Naija ilipanda baada ya Tinubu kuondoa subsidies kwenye mafuta . Dangote amesaidia pakubwa kutuliza thamani ya fedha ya Naija.

Wewe ni mweupe kabisa kichwani. Mjinga sana wewe jamaaa kumbe. F_ck you.
Ni kweli tunubu aliondoa usd billion 10 kama subsidy kwenye mafuta ndo maana bei ilipanda
 
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.

Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.

Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).

Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.

Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.

Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.

Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.

Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.

Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.

Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.

Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074

Without a solid evidence hii ni propaganda.

NNPC Anamuuzia dangote mafuta kwa bei ya kimataifa,

NNPC mafuta yake anayozalisha mengi yalishawekwa rehani kwa mikataba ya kimataifa/ yamefungwa na madeni

NNPC hampi dangote mafuta ya kutosha kiasi anachohitaji hii imepelekea kuna muda dangote anaagiza crude oil kutoka nje.

Inshort ilo bomba sio la kwetu, limeshafungwa na mikataba ya nje. Dangote anajenga refinery Lamu then anaweza akaagiza crude oil nje.

Tusishupaze shingo eti kua tuna bomba la mafuta wakati we ain’t final say .

Unatarajia kuwe na ahueni ya bei wakati serikali ina mlolongo ? Kenya wamenyooka ndo maana dangote amekimbilia uko .
 
Kichwa kinachotumika kufikiri ni hiki hiki?
 
Attachments

  • file_000000005ab081f48d9ece5e30626fcd.png
    file_000000005ab081f48d9ece5e30626fcd.png
    2 MB · Views: 4
Without a solid evidence hii ni propaganda.

NNPC Anamuuzia dangote mafuta kwa bei ya kimataifa,

NNPC mafuta yake anayozalisha mengi yalishawekwa rehani kwa mikataba ya kimataifa/ yamefungwa na madeni

NNPC hampi dangote mafuta ya kutosha kiasi anachohitaji hii imepelekea kuna muda dangote anaagiza crude oil kutoka nje.

Inshort ilo bomba sio la kwetu, limeshafungwa na mikataba ya nje. Dangote anajenga refinery Lamu then anaweza akaagiza crude oil nje.

Tusishupaze shingo eti kua tuna bomba la mafuta wakati we ain’t final say .

Unatarajia kuwe na ahueni ya bei wakati serikali ina mlolongo ? Kenya wamenyooka ndo maana dangote amekimbilia uko .
Vyema kabisa Mkuu. Hawa ambao hawana taarifa wanaleta tu "stori zao za kichawa".
 
Nimependa hii comment.
Sio wengine wanakimbilia kumshambulia mtu binafsi na kuacha mada
Ukiona wanamshambulia ni kwa sababu information za kweli tayari wanazo na wanajua huyu mpumbavu anaandika andika tu "ujinga wake wa kichawa".
 
Nchi gani mafuta hayajapanda bei? Leo ukilinganisha na 2023? Commodity markets ni volatile sielewi hii hoja umeiweka hapa as if iko driven na variable moja tu ya Dangote refinery na sio price shocks sababu ya vita, supply chain bottlenecks, uncertainty n.k

Baki kuchambua ujasusi wako uchwara mambo ya uchumi achana nayo
Well said. Akapeleke huo ujasusi wake uchwara kwa kamati kuu ya "cha_uma wa ccm"
 
Naona vijana wa chama cha demokrasia ya matusi (CHADEMA) wamechachamaa na kuporomosha matusi kwa mleta mada. Mnafanya kazi nzuri kueneza itikadi yenu ya matusi. Alichoandika Yericko ni kikubwa sana kwa akili zenu.
 
Niko interested kujua kama mtoa post amesomea fani ya Uchumi.
 
Sasa huoni ni demokrasia, maana CCM ingemeteka na kumuua!!

Kingine anapingwa sababu hoja haina tija, yaani Dangote akiwekeza bongo ni faida ila akienda Kenya ni hasara??

The fact that alikataa kuwekeza hapa na kwenda kwingine ni failure hata kama mtaisafisha vipi. Maana ina sound alarm kwa wafanyabiashara wengine kuwa doing business in Tanzania ni ngumu kuliko Kenya.

Ona tu mradi wa gesi ya kusini, mwaka wa ngapi huu mazungumzo hayaishi!!
Hilo la gesi ya kusini limenigusa maana ni kwetu na ndo niliko Sasa
 
Back
Top Bottom