Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

Sizitaki mbichi hizi! Ebu dadavua umakini wa viongozi katika mikataba ya DP World, uchimbaji wa gesi ya Mtwara, Hifadhi ya Ngorongoro, Uchimbaji wa migodi ya dhahabu, uchimbaji wa makaa ya mawe n.k. kisha ndiyo uje na simulizi hizi za alinacha.
 
Umekosa ukuu wa Wilaya umekimbilia huku kuleta uongo. Kafanya utafiti ni kwanini mafuta yalipanda bei Nigeria. Halafu wewe ulikuwa CHADEMA juzi, usijifanye mwana CCM kuliko ulio wakuta.
 
Aisee hehe kweli mazee dah ni sheddah, kuna mkenya aliniambiaga mama alivochukua uongozi tz, hapa tumelamba dumeee
 
AHAAAA AAHAA AHAAH AAAH. DALALI WA SIASA KATIKA UBORA WAKE. VIPI SULTANI WENU MBOWE HAJAMBO?
 
Tumia jina la baba ako na ukoo wako wenye jina lao wameshakukana.
 
Eti mjomba, mimi niko nje kabisa ya mada! Sina shida na hayo mafinery yako. Nijibu hili swali;

Nini chanzo cha kumchukia Lissu kiasi cha kutaka anyongwe kwa kesi ya uhaini feki? Ulikuwa na mkataba gani wa siri na Mbowe? Mbona umeumia sana Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, huku ukifahamu fika alichaguliwa kihalali na wajumbe wa chama?
 
Gharama za maisha zimepanda hata Bwawa la Mwl Nyerere walisema mradi ukikamilika unit za umeme zitashuka leo hii unit ndo kwanza zimepanda kuliko tulivyoaminishwa.
Hata huko Asia mafuta yanapopatikana mafuta hayajawi kushuka huwa yanapanda kutoka na gharama za uendeshaji kupanda, achilia mbali na vita.
Tunataka kuangalia faida inayopatikana kwa sasa (Nigeria leo hawaagizi tena mafuta kwa wingi kutoka nje kama zamani ) laiti wangekua wanaagiza kwa wingi leo hii mafuta yangekua ghali zaidi.

Ulichoandika ni wivu.
Maana turudi hapa Tz tuna gesi bei yake ipoje ?
Tuna viwanda vya siment bei yake ikoje ?
Hata hilo bomba la Uganda na Tz linalotarajiwa kujengwa mkataba wake pia ni huo huo wa kinyonyaji wala hautaleta unafuu wowote.
 
Nilijua tu minyumbu lazima imtukane mleta mada kwasababu Uzi wake umeangazia athari za hiko kiwanda badala ya matusi au kumponda Samia 🤣🤣🤣

Wanadekrasia haooooo wanataka nchi waiendeshe kidemokrasia.
Yaani uwatungie watu uongo halafu uchukie wakikutukana!? Bila shaka wewe ni mpumbavu. Hata kukataa kulishwa ujinga nayo ni Demokrasia pia.
 
Watakuja hapa haters wako kutoka CHADEMA, watakushambulia wewe binafsi kwa chuki zao kwako bila kuiendea hoja yenyewe.
 
Ambatanisha na ushahidi wa hayo uliyotuandikia au tupe link tukajithibitishie wenyewe.Au wewe mwenyewe ulikuwepo wakati wanakubaliana ?! Kinyume na hapo ni story za kahawa kama zilivyo story za kahawa nyingine.
Nimependa hii comment.
Sio wengine wanakimbilia kumshambulia mtu binafsi na kuacha mada
 
Naomba uweke huo mkataba hapa,sio kuandika blah blah kama kawaida yako.
 
Magari ya umeme yanakuja, hii miradi ya mafuta ni useless, chemical industries hazihitaji multibillion investment kama hii,na commitment ya kuwa mteja wa refinery for life ni hasara tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…