Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mapanki chakula ya wabongo!Huyo samaki hapo alipo kila kitu chake deal,nyama ulaya,mifupa na ngozi chakula ya kuku,mabondo nyuzi za kushonea wagonjwa,utumbo chakula ya kuku,,,yani hapoo ni hela tupu kila unapogusa
Huyo samaki hapo alipo kila kitu chake deal,nyama ulaya,mifupa na ngozi chakula ya kuku,mabondo nyuzi za kushonea wagonjwa,utumbo chakula ya kuku,,,yani hapoo ni hela tupu kila unapogusa
Mhhh bila shaka unaishi jirani na masamaki. Mabondo msamiati kwangu
hao sangara wamesababisha species 300 za samaki kutoweka ziwa victoria tangu wapandikizwe humo ni wa tam ila wameharibu eco system kabisa
hao sangara wamesababisha species 300 za samaki kutoweka ziwa victoria tangu wapandikizwe humo ni wa tam ila wameharibu eco system kabisa[/QUOTEu
Hizo takwimu atakuwa ametoa mkurupukaji magufuli
Hilo shati alilala nalo kwa mchepuko akaamkia kuvua
Huyo samaki hapo alipo kila kitu chake deal,nyama ulaya,mifupa na ngozi chakula ya kuku,mabondo nyuzi za kushonea wagonjwa,utumbo chakula ya kuku,,,yani hapoo ni hela tupu kila unapogusa