Ninauza kuku kienyeji elfu 20 mmoja.

Ninauza kuku kienyeji elfu 20 mmoja.

nsitta

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Habari wana - JF,

ninauza kuku wa kienyeji kilo moja na nusu mpaka 2, kila mmoja TS. 20,000. Wapo kuku zaidi ya 80. Kama kuna mwenye interest ya kununua sms tafadhali kwa 0784-026-809. Eneo goba.
Asanteni na karibuni.
 
Hâta 15 nawasiwasi. Kuku ni wengi wa kienyeji ni wengi kwa sasa.
 
Hiyo buku 20
napata kuku wa kienyeji kitu safi kutoka singida na chenji inabaki ya viungo hapo sokoni dar hii
 
Kama ndo bei yake hyo,basi ntakuwa tajiri muda mfupi ujao.
 
Mimi nauza kuku wa kienyeji kwa Tshs 12000/= jogoo na mitetea 9500/= nipo kilosa morogoro. Mayai pia trei moja Tshs 11500/=

SMS 0762337233
 
Back
Top Bottom