Ninauza htc one M7 used with camera issue kwa bei ya laki mbili tu. Ninaiuza bei chee sababu kwenye giza camera yake ya nyuma inakuwa na rangi ya pink.Tofauti na hapo simu iko safi na iko intact haijawahi kufunguliwa.
Note: Sijawahi kuipeleka wa fundi so sijui kama inapona ama haiponi hilo tatizo la camera. Cheki picha ukipenda njoo tuongee 0656497469
Hapana mkuu simu ni original kabisa na haijawahi kufunguliwa,ni kwamba tu ukiwa kwenye mwanga hafifu camera inakuwa inaonesha kama rangi ya pink isiyokolea......kama kweli unaitaka hii simu my final price ni 180