Ninauza hilo gari je kuna mtu anaye litaka?

Ninauza hilo gari je kuna mtu anaye litaka?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
45137_1440170309550680_1974474713_n.jpg
 
Hii ndio ilikua toleo la mwisho Mkuu. Mwaka jana wamefunga rasmi production line yake in Sao Paul I think.

Kama unayo baki nayo tuu itakua dili baadaye!
 
Bro nimeipenda. Nipe bei nione kama nitaweza. Karibu nastaafu kwenye ajira itanisaidia sana ku - enjoy siku za uzee wangu.
 
Hao VW wamebadilika ss,mwaka jana nilitembelea kiwanda chao kilichopo Uitenhage Port Elizabeth SA ,wanatengeneza magari yenye akili kama Amarock nk.Nikashangaa kuona ukubwa wa kiwanda,shift wanaingia wafanyakazi elfu 10 na kutoka idadi hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom