Ninauza digital camera kwa anayehitaji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninauza digital camera kwa anayehitaji.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mangii, Jun 13, 2012.

 1. M

  Mangii Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nauza
  digital camera aina YASHIKA Lens yake haitoki nje kama digital camera
  nyingine ipo tu flati ni nzima kabisa Nimeitumia kidogo niliinunua laki
  1 na nusu kwa anayehitaji hata kwa laki 1 nitampa nina shida na hela. Inatumia memory card ila ctaiuza na memory
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Toa specs ndugu yetu, umetoa bei huyu mtu anunue pasipo kujua ina nini!!
   
 3. M

  Mangii Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimesema lens yake aitoki kama digital camera nyingine unapo iweka on ile sehem ya lens inatoka nje sasa hii haitoki,pia inatumia memory card nadhani nimekujibu mkuu
   
 4. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,024
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Unachotakiwa uelezee ni Yashika Model gani(model number),itatusaidia kuweza ku-Google kama umeshindwa kuweka picha.
   
 5. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hujasema zoom ni ngapi
  uwezo ni megapixel ngapi
  na vingine.
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Bado maelezo hayatoshi, basi ungetuambia model yake basi tuweze ku-google. Tunaposema specs zake japo tuambie hata uwezo wa lensi yake (Mega Pixels)
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Specs hazijitoshelezi hata mimi nataka Digital Camera
   
 8. M

  Mangii Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu 5Mega up to 12Mega
  2.4" LTPC LCD
  MODEL EZ DIGITAL F524
  YASHIKA LENS 3
  f=7.1mm1:3.2
   
 9. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  bado unao mzigo huo? nipm 2fanye biashara
   
 10. M

  Mangii Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bado ninao kama unahitaji nipigie kwa namba 0756386179
   
 11. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,337
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  kama hujauza lete 0755789225
   
 12. M

  Mangii Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ok mkuu nitakutafuta kesho asb
   
Loading...