Acha kulialia hapa mtoto wa kiume!
Halafu mademu kibao tu! Hili lazima kutoka ile mikoa ya Kule tu. Hapa Dar mambo ya kulialia tushasahaumijitu mingine inaudhi ujue mkuu, sasa kilichomfanya amuache hata hakieleweki anataka Sisi tumshauri nini wakati hajapambanua kwa nini alimwacha binti wa watu,hawa ndio wanaotufanya mabinti warembo wote watuchukie wanaume wote kwa tabia hizi za kishenzi
Aaa usimkatishe tamaaDeep down the broken heart
Touched by the truly loving arm
Chords that are broken
Will vibrate once more
She is no longer yours.. Kampata anayemjali kumheshimu na kumpenda kwa dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Damu ya usaliti ni lazima ikurudie. Ni lazima utateseka kimapenzi.Wanajamii... Wazima?