The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
Deep down the broken heart [emoji174]Wanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Ukwel mchungu huuDeep down the broken heart [emoji174]
Touched by the truly loving arm[emoji173]
Chords that are broken [emoji298] [emoji298]
Will vibrate once more [emoji175] [emoji176] [emoji175]
She is no longer yours.. Kampata anayemjali kumheshimu na kumpenda kwa dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Karma is a bitch ,sasa ndo ujue what goes around comes aroundWanajamii... Wazima?