Ninataka nirudie mtihani wa Form 4, naomba ushauri wenu

Ninataka nirudie mtihani wa Form 4, naomba ushauri wenu

Joined
Apr 30, 2021
Posts
49
Reaction score
28
Habari za leo,

Kama nilivyoelezea hapo juu, nahitaji ushauri wenu. Mimi nimaliza shule Mwaka 2019 lakini matokeo yalikuja mabaya, yaani nilifeli hivyo lengo langu lakutaka kurudia mtihani Mimi shida yangu nataka nifanyie vizuri kabisa.

Naombeni ushilikiano.
 
Nakushauri kabla ya kurudia mitihani ya kidato cha nne fanyia kazi uandishi wako, kama kweli una nia. Ila tofauti na hapo jishughulishe na mambo mengine.
 
Kama huo ndio uandishi ulioenda nao NECTA nakusihi nenda veta kama Cheti kinaruhusu aidha una D 4
 
Inabidi uwaze mbele zaidi mdogo wangu.

Lengo lako maishani ni lipi?

Ukishafaulu mtihani then what? Unaweza kukuta hauhitaji ku resit, huenda kufaulu mtihani kuta boost ego yako kiasi flani lakini haitakusaidia.

Ningekushauri nguvu zako uzielekeze kwingine. Either uingine kwenye ufundi upate ujuzi flani wa kukusaidia hapo baadae katika kuingiza kipato mfano ufundi Seremala, ama uanzishe biashara yeyote ndogo.

Vyovyote vile muda ndio huu wa kufanya maamuzi sahihi.

Kila la heri.
 
Habari za leo,

Kama nilivyoelezea hapo juu, nahitaji ushauri wenu. Mimi nimaliza shule Mwaka 2019 lakini matokeo yalikuja mabaya, yaani nilifeli hivyo lengo langu lakutaka kurudia mtihani Mimi shida yangu nataka nifanyie vizuri kabisa.

Naombeni ushilikiano.
Wasikutishe mwamba
kama umedhamiria nenda karudie
Ila jieleze, unataka kuvaa uniform tena na kuchapwa viboko na walimu wajinga wajinga?
Au unataka kujisomea mwenyewe, halafu ulipie kufanya mtihani? Na unataka ushauri jinsi gani ujipange katika kujisomea mwenyewe............
 
Kama una nia ya dhati kabisa, rudia na upambane haswa maana kama ulikua fresh from form 1 to 4 na Necta hukufanya vizuri vipi sahivi una 2 yrs mtaani na uje ufanye mitihani maswali from form 1🤔 ni lazima ukaze sana mkuu. Ila usijali kuna wanao resit na wanatoboa mara moja !may you be among of them, kila rakheri solve past papers sana nk.🙏
 
Kama una nia ya dhati kabisa, rudia na upambane haswa maana kama ulikua fresh from form 1 to 4 na Necta hukufanya vizuri vipi sahivi una 2 yrs mtaani na uje ufanye mitihani maswali from form 1 ni lazima ukaze sana mkuu. Ila usijali kuna wanao resit na wanatoboa mara moja !may you be among of them, kila rakheri solve past papers sana nk.
Thanks you
 
Wasikutishe mwamba
kama umedhamiria nenda karudie
Ila jieleze, unataka kuvaa uniform tena na kuchapwa viboko na walimu wajinga wajinga?
Au unataka kujisomea mwenyewe, halafu ulipie kufanya mtihani? Na unataka ushauri jinsi gani ujipange katika kujisomea mwenyewe............
Kujixomea home na kwenda kupiga paper
 
Mkuu fanya shughuli nyingine, siyo lazima kila mtu asome au afaulu
 
Ndugu ... Mpka nafsi inakuambia hvo we nenda tuu!! Mi pia shahid wa hil!! Nilimaliza o~lever 2012.. Nikazingua japo vi D" kadhaa vilinibeba!!!

Enzi ya kikwete kufikia 2015 nikaingia utumishi!!! Na ki Certifcte!!!!

Hla 2018 nililud kama mtahiniwa binafsi....Kwa mwaka 1.....

Huwez amin ni bidii na kukaza tu!!! Nikajibebea div 3 ya mwanzo!!! Wala sikulemba nikaendelea Advance!! Kwa mwaka 1 ... Na nikatoboa pia 2020!!!! Now day!!! Fikra zipo za mbar!! Japo nina kazi pia!!!
 
Back
Top Bottom