Ninataka kuiandikia FIFA kuhusu mapendano ya Yanga na CCM. Niongeze nini?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,913
Reaction score
133,926
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA

Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika kampeni za uchaguzi.

Kwa mujibu wa ripoti za kuaminika na taarifa za umma, Yanga SC inatangaza kutoa msaada wa kifedha kusaidia kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha sasa nchini Tanzania. Tukio hili, likithibitishwa, linamaanisha ushiriki wa kisiasa na klabu ya soka, kinyume na:

Kanuni za FIFA, Kifungu cha 4: Kinachokataza ubaguzi wa kisiasa na ushawishi wa kisiasa katika soka.

Kanuni za FIFA, Vifungu vya 14 & 19 Vinavyotaka klabu na mashirikisho ya soka kuwa huru na bila ushawishi wa kisiasa.

Ushiriki wa aina hii unadhoofisha kanuni ya kutokuwa na upande katika michezo na unaweza kuweka mfano hatari wa kisiasa kuingia katika klabu za soka Tanzania na kwingineko.

Naiomba FIFA kuchukua hatua zifuatazo:

1. Kuanza uchunguzi wa haraka kuhusu shughuli za kifedha na kisiasa za Yanga SC.

2. Kuomba taarifa kamili ya michango na ushiriki wa klabu hiyo katika siasa.

3. Kutoa adhabu zinazofaa iwapo uvunjaji wa kanuni za FIFA utathibitishwa.

Jambo hili ni la dharura hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi wa 2025 unakaribia, na kuendelea kwa ushiriki wa kisiasa na taasisi za soka kunaweza kuharibu uadilifu na kutokuegemea kwa michezo.

Niko tayari kutoa ushahidi au nyaraka zitakazosaidia katika uchunguzi wenu.

Asanteni kwa kulipa kipaumbele suala hili.

Niongeze nini hapa wakuu. Hii issue ya Yanga ni serious sana
 
1. Matumizi mabaya ya pesa Kwa Yanga inawaunganisha mashabiki na wapenzi hata mtani wake wa jadi kuwa pamoja Kwa njia ya supu, (frequently holding get together parties 🥳), yaani washabiki wa yanga waendelee kuwa na furaha kibaya zaidi hata supu ya ngamia wanafakamia

2 . Hasara ambayo wapenzi wa mpira toka sehemu mbali mbali nchini na duniani pamoja na TFF hata Serikali kwa timu zinazo kimbia mchezo uwanjani kwa ratiba maalum
 
Hii nchi iacheni kama ilivyo kuna mengi ya ajabu
 
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA

Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika kampeni za uchaguzi.

Kwa mujibu wa ripoti za kuaminika na taarifa za umma, Yanga SC inatangaza kutoa msaada wa kifedha kusaidia kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha sasa nchini Tanzania. Tukio hili, likithibitishwa, linamaanisha ushiriki wa kisiasa na klabu ya soka, kinyume na:

Kanuni za FIFA, Kifungu cha 4: Kinachokataza ubaguzi wa kisiasa na ushawishi wa kisiasa katika soka.

Kanuni za FIFA, Vifungu vya 14 & 19 Vinavyotaka klabu na mashirikisho ya soka kuwa huru na bila ushawishi wa kisiasa.

Ushiriki wa aina hii unadhoofisha kanuni ya kutokuwa na upande katika michezo na unaweza kuweka mfano hatari wa kisiasa kuingia katika klabu za soka Tanzania na kwingineko.

Naiomba FIFA kuchukua hatua zifuatazo:

1. Kuanza uchunguzi wa haraka kuhusu shughuli za kifedha na kisiasa za Yanga SC.

2. Kuomba taarifa kamili ya michango na ushiriki wa klabu hiyo katika siasa.

3. Kutoa adhabu zinazofaa iwapo uvunjaji wa kanuni za FIFA utathibitishwa.

Jambo hili ni la dharura hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi wa 2025 unakaribia, na kuendelea kwa ushiriki wa kisiasa na taasisi za soka kunaweza kuharibu uadilifu na kutokuegemea kwa michezo.

Niko tayari kutoa ushahidi au nyaraka zitakazosaidia katika uchunguzi wenu.

Asanteni kwa kulipa kipaumbele suala hili.

Niongeze nini hapa wakuu. Hii issue ya Yanga ni serious sana
Clip ya Hersi umechukua?
 
Kwa mujibu wa FIFA Statutes Ibara ya 19, hata muonekano wa kuunga mkono chama au mgombea unachukuliwa kama aina ya ushawishi wa kisiasa, hivyo kuathiri uaminifu na hadhi ya michezo.
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA

Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika kampeni za uchaguzi.

Kwa mujibu wa ripoti za kuaminika na taarifa za umma, Yanga SC inatangaza kutoa msaada wa kifedha kusaidia kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha sasa nchini Tanzania. Tukio hili, likithibitishwa, linamaanisha ushiriki wa kisiasa na klabu ya soka, kinyume na:

Kanuni za FIFA

Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA

Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika kampeni za uchaguzi.

Kwa mujibu wa ripoti za kuaminika na taarifa za umma, Yanga SC inatangaza kutoa msaada wa kifedha kusaidia kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha sasa nchini Tanzania. Tukio hili, likithibitishwa, linamaanisha ushiriki wa kisiasa na klabu ya soka, kinyume na:

Kanuni za FIFA, Kifungu cha 4: Kinachokataza ubaguzi wa kisiasa na ushawishi wa kisiasa katika soka.

Kanuni za FIFA, Vifungu vya 14 & 19 Vinavyotaka klabu na mashirikisho ya soka kuwa huru na bila ushawishi wa kisiasa.

Ushiriki wa aina hii unadhoofisha kanuni ya kutokuwa na upande katika michezo na unaweza kuweka mfano hatari wa kisiasa kuingia katika klabu za soka Tanzania na kwingineko.

Naiomba FIFA kuchukua hatua zifuatazo:

1. Kuanza uchunguzi wa haraka kuhusu shughuli za kifedha na kisiasa za Yanga SC.

2. Kuomba taarifa kamili ya michango na ushiriki wa klabu hiyo katika siasa.

3. Kutoa adhabu zinazofaa iwapo uvunjaji wa kanuni za FIFA utathibitishwa.

Jambo hili ni la dharura hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi wa 2025 unakaribia, na kuendelea kwa ushiriki wa kisiasa na taasisi za soka kunaweza kuharibu uadilifu na kutokuegemea kwa michezo.

Niko tayari kutoa ushahidi au nyaraka zitakazosaidia katika uchunguzi wenu.

Asanteni kwa kulipa kipaumbele suala hili.

Niongeze nini hapa wakuu. Hii issue ya Yanga ni serious sana
Kifungu hiki hapa Kipenzi Changu tumia kama reference kwenye barua yako
IMG-20250813-WA0079.jpg
 
wanayanga wana haki ya kulalamika, wasiokua yanga na wanaharakati uchwarwa waache viherehere
 
Ongeza suala la UNYWAJI WA SUPU ukomeshwe unatukwaza majiran.
 
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA

Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika kampeni za uchaguzi.

Kwa mujibu wa ripoti za kuaminika na taarifa za umma, Yanga SC inatangaza kutoa msaada wa kifedha kusaidia kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha sasa nchini Tanzania. Tukio hili, likithibitishwa, linamaanisha ushiriki wa kisiasa na klabu ya soka, kinyume na:

Kanuni za FIFA, Kifungu cha 4: Kinachokataza ubaguzi wa kisiasa na ushawishi wa kisiasa katika soka.

Kanuni za FIFA, Vifungu vya 14 & 19 Vinavyotaka klabu na mashirikisho ya soka kuwa huru na bila ushawishi wa kisiasa.

Ushiriki wa aina hii unadhoofisha kanuni ya kutokuwa na upande katika michezo na unaweza kuweka mfano hatari wa kisiasa kuingia katika klabu za soka Tanzania na kwingineko.

Naiomba FIFA kuchukua hatua zifuatazo:

1. Kuanza uchunguzi wa haraka kuhusu shughuli za kifedha na kisiasa za Yanga SC.

2. Kuomba taarifa kamili ya michango na ushiriki wa klabu hiyo katika siasa.

3. Kutoa adhabu zinazofaa iwapo uvunjaji wa kanuni za FIFA utathibitishwa.

Jambo hili ni la dharura hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi wa 2025 unakaribia, na kuendelea kwa ushiriki wa kisiasa na taasisi za soka kunaweza kuharibu uadilifu na kutokuegemea kwa michezo.

Niko tayari kutoa ushahidi au nyaraka zitakazosaidia katika uchunguzi wenu.

Asanteni kwa kulipa kipaumbele suala hili.

Niongeze nini hapa wakuu. Hii issue ya Yanga ni serious sana
Nakuunga mkono, lazima tukomeshe hiyo tabia ya kunajisi football.
 
Back
Top Bottom