Ninatafuta vijana wenzangu wanne tuungane kulima

Ninatafuta vijana wenzangu wanne tuungane kulima

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Kimsingi kama upo tayari ni PM na namba ya simu uniambie kama upo tayari.
Sijaona dhamira yoyote ya sisi vijana kusaidiwa isipo tujiongeze wenyewe.
Kilimo kinauhusu mpunga, tutaandaa Business plan na strategic plan ya namna ya operation zetu zitakavyokuwa.

Nahitaji tuwe watu watano wa kuunganisha nguvu, na tuta-process mkopo bank maalum kwa lengo la kufanikisha, naomba usiwe bishoo wala chekibobu, uwe mtu uliyedhamiria kweli.

Kilimo ni cha kumwagilia na location yake ni Morogoro

Jinsia haimati ilimradi unadhamira ya kweli

Asanteni.
 
Kimsingi kama upo tayari ni PM na namba ua simu uniamvie kama upo tayari..
Sijaona dhamira yyte ya sisi vijana kusaidiwa isipo tujiongeze wenyewe.
Kilimo kinauhusu Mpunga, tutaandaa Business plan na strategic plan ya namna ya operation zetu zitakavyo kuwa,
Nahitaji tuwe watu watano wa kuunganisha nguvu, na tuta process mkopo Bank maalum kwa lengo la kufanikisha, naomba usiwe bishoo wala chekibobu, uwe mtu uliyedhamiria kweli...

Jinsia haimati ilimradi unadhamira ya kweli

Asanteni.
Kha
Soft words kama unatongoza vile, akikubali kaliwa, akikataa hupungukiwi kitu.
Try again bro.
Hizi sio zama zile ukiwa na meza, karatasi, computer na ac basi maisha yanakwenda.
Sasa hivi tupo kwenye zama za weka niweke.
 
Kha
Soft words kama unatongoza vile, akikubali kaliwa, akikataa hupungukiwi kitu.
Try again bro.
Hizi sio zama zile ukiwa na meza, karatasi, computer na ac basi maisha yanakwenda.
Sasa hivi tupo kwenye zama za weka niweke.
Sijatoa tangazo kulazimisha mtu ni yule atakae hitaji
 
Ulishawahi kulima ww kama ww? Tuletee changamoto na namna yakuzikabili!, na kama umewah kulima ulifanikiwa kiasi gani? Na hao 5 itakuwa na mafanikio yapi? Garama za kukodi, soko,......kwanza hauko Serious kama umejipanga uje na business plan ,
 
..Nje ya mda hili tangazo limenikumbusha wakati tupo JKT Dodoma maktupora , jamaa wa 3 walijitolea ivi ivi waliambiwa kwenda kulima kumbe ilikua ni nafasi kwenda CUBA walichaguliwa kwenda CUBA sa hivi ni maofisa wakubwa TISS ..
Sorry ni nje ya thread lakin
 
Mkuu wewe Ni jinsia gani
project itafanyika morogoro sehemu gani
nipo Moro naweza kujiunga nanyi tukielewana
 
Nakushauri tafuta vijana ulio karibu nao,hivyo itakuwa rahisi kuanzisha project.Makampuni/biashara zilizoanzishwa kwa pamoja nyingi zimeanza kwa watu waliosoma pamoja/kufanya kazi pamoja/kukaa eneo moja.sasa usikurupuke huku kwenye mitandao utaishia pabaya,ila biashara ikikaa vizuri munaweza kutafuta wawekezaji bila kujari wanatoka eneo gani.
 
Mkuu Why Kilimo isije ukawa unaona watu wakitaja kilimo kilimo nyingi umu ukahisi kina pesa angalia sana ndugu

Sikukatishi tamaa ila naitaji uwe makini sana
 
Back
Top Bottom