Ninatafuta mwanaume mmoja aliyejaa upendo na ukarimu kutoka kwa Mungu, atakayekubali kuwa kaka yangu

Nani atakubali mimi niwe dada yake ??

Natamani mwanaume m,moja wa kumuita kaka yangu.

Naweza kusimama popote na nikasema nina kaka yangu.

Nitamtambulisha kwa wazazi wangu kuwa naye ni mtoto wao.

Baba yangu atakua amepata mtoto wa kiume hatakama siyo wa kibailojia

Natamani kuwa na kaka

Napata wivu nikiwaona we zangu wanazungumza na kaka zao.

Nani yupo tayari kuwa kaka yangu kuanzia leo.

Umri wangu miaka 28,
nilizaliwa september 1997
Siku hizi wanaume Tunatongozwa kimaster sana! Na wanawake!

Ukijichanganya tu, umejaa kwenye mfumo wake!
 
Nani atakubali mimi niwe dada yake ??

Natamani mwanaume m,moja wa kumuita kaka yangu.

Naweza kusimama popote na nikasema nina kaka yangu.

Nitamtambulisha kwa wazazi wangu kuwa naye ni mtoto wao.

Baba yangu atakua amepata mtoto wa kiume hatakama siyo wa kibailojia

Natamani kuwa na kaka

Napata wivu nikiwaona we zangu wanazungumza na kaka zao.

Nani yupo tayari kuwa kaka yangu kuanzia leo.

Umri wangu miaka 28,
nilizaliwa september 1997
Mmmmmmh...... Mbombo jilipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom