Ninatafuta mume wa ndoa

Aiseeeeee! umri ungepungua kidogo ningejitosa!I dont care kama umenizidi umri!Vibint visumbufu sana!!
 
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
Kapicha basi mtu wangu ili tuangalie walau kama sura inalipa na umbile mana hiyo ndio itafidia umri.
 
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:


  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:


  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
 
asante but umri wangu umepita 40, sina umbo zuri kama unavyotaka lakini sijijui labda , ila kwa tabia njema ninayo, nina elimu ya certiificate na ninafanya kazi na nina mtoto mmoja 8yrs kama utaridhika utanijibu hata kama sio jibu tu kwani sina neno na uwe na amani tele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom