Ninatafuta mume wa ndoa

Nawaomba tusikwazane maana wengine huwa hawana ushauri mzuri
 
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
.
Am 43 years, mishen town, nina watoto 6 kila m1 na mama yake, ntakufaa?
 
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
Miaka yote ulikuwa wapi kupata mme wa kukuoa? Je baba mtoto wako yuko wapi? Na kwa nini hajakuoa? Sifa unazozitaka ninazo lakini hunipati ng'o!
 
Huna sifa nini, mbona maswali mengi kama afande Kava:suspicious:
 
Miaka yote ulikuwa wapi kupata mme wa kukuoa? Je baba mtoto wako yuko wapi? Na kwa nini hajakuoa? Sifa unazozitaka ninazo lakini hunipati ng'o!
Sasa kwan lazima uchangie kama huitaji unakaa kimya.hata hili tufundishane pia.wacha watafutane
 
ondoa shaka mume umempata na ndo hyu hpa...bt me nna 23 so km utakubal npe contact zko thn jamaa nje kujchukulia jko...me penda xna wa2 ka ww.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom