King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,638
Ushampata?
ngoja nimjulishe broo, maana ndio mtawezana!
Shikamoo
ondoa shaka mume umempata na ndo hyu hpa...bt me nna 23 so km utakubal npe contact zko thn jamaa nje kujchukulia jko...me penda xna wa2 ka ww.
Miaka yote ulikuwa wapi kupata mme wa kukuoa? Je baba mtoto wako yuko wapi? Na kwa nini hajakuoa? Sifa unazozitaka ninazo lakini hunipati ng'o!
Unaposema Mume wa ndoa unamaanisha nini? coz mimi nna sifa zote na natake mke lakini si ndoa!Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
Unaposema Mume wa ndoa unamaanisha nini!? mi nna sifa zote hapo natafuta mke but si wa ndoa!Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.
Umri wangu ni 40yrs nina mtoto mmoja 8yrs ninafanya kazi, kwa alie na umri kati ya 40 hadi 45 aipm ili tuweze kuwasiliana. Mkristo atapewa kipaumbele zaidi.