SUZANE
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 740
- 502
Nawasalimuni nyote!!
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijipigania lau niweze kujilipia hata kozi ya cheti pale chuo cha sanaa Bagamoyo lakini kumbe mipango si matumizi.
Kwa kipato changu nimeshidwa kabisaaa, kujiwekea akiba ili nikajisomeshe, lakini natamani sana na ninapenda sana nikasome ili cku moja nifikie malengo yangu.
Tafadhali ninaomba kama yupo atakaeguswa anilipie ada hiyo ya mwaka mmoja ya ngazi ya cheti ili nikasome na kuweza kuzifikia ndoto zangu.
Masomo yanaanza mwezi wa tisa, na mwisho wa maombi ni mwezi wa tano. Sihitaji kupatiwa hata senti tano mkononi, kwani chuo kina account.
Najua mpo mtakao nidhihaki lakini naamini yupo mmoja atakaeguswa.
Amen.