angel princess
Member
- May 4, 2017
- 5
- 8
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Awe mrefu kidogo sio sana
Mkristo
Awe ameajiriwa serikalini na awe na akili za kutafuta Maisha.
Mwenye upendo kwa watoto wetu tutakaobarikiwa kuwapata
Ambae hajawahi kuoa
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [
Karibu.