Ninatafuta kazi wana jamii mnisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninatafuta kazi wana jamii mnisaidie

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by TXB, May 20, 2011.

 1. T

  TXB Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NAPENDA KUWASALIMU WANA JF, NAKUJA MBELE YENU KUWAELEZEA TATIZO LANGU LINALONISUMBUA KILA KUKICHA NALO NI SUALA LA KAZI NIMEKAA KWA MUDA WA MIAKA 4 BILA KAZI NA KWA SASA NINA ELIMU YA STASHAHADI YA UDHAMINI TOKA CHUO CHA MZUMBE (MSc. ACCOUNTING & FINANCE) NIMETUMIA MAGAZETI NA MITANDAO (WWW.NAOMBAKAZI.COM, WWW.KAZI999.COM NA WWW.JAMIIFORUM.COM KWENYE SEHEMU YAKE YA KAZI) BILA MAFANIKIO, HADI HIVI SASA NAANDIKA HAYO NIMETOKA KUPATA ADDRESS NA EMAIL ADDRESS ZA MAKAMPUNI ILI KUSUDI NIPATE KUTUMA MAOMBI HAYO YA KAZI. KWAHIYO WANAFORUM NAWAOMBA WOTE AMBAO MKO MAOFISINI NA HATA WALE WASIOKUWEPO MAOFISINI NAOMBA TUSAIDIANE MTAKAPOPATA MTU YEYOTE MWENYE KUMTAKA ACCOUNTANT, AUDITOR NA FINANCE OFFICER NAOMBA AWASILANE NA MIMI KWA E-mail Address: benbnny9@gmail.com, NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA WANAFORUM WOTE NA KUWAKUMBUSHA TUPO HUMU NDANI YA JAMII KWA KUSAIDIANA, NAWASHUKURU WOTE NA MUNGU AWABARIKI SANA, NI MIMI MWANA JAMII MWENZENU NINAYEHANGAIKA KUPATA KAZI.
   
 2. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  tunaweza kuwasiliana kwa kutuma PM au ushauri_ubunifu@operamail.com
   
 3. blackdog

  blackdog Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
Loading...