Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

Habari wanajamvi,Nina active account ya Uber,Taxify na Little na Driving Licence class A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nina uzoefu wa kuendesha Uber hivyo nina experience na kazi hii.Naomba mtu mwenye gari ya Mkataba 175,000/- kwa wiki na kama hesabu ya wiki 160,000/-. Napatikana kwa namba 0687399176 naishi Dar es Salaam Wilaya ya Temeke.Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulipataga gari, nisaidie na mimi 0764001804
 
Habari wanajamvi,Nina active account ya Uber,Taxify na Little na Driving Licence class A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nina uzoefu wa kuendesha Uber hivyo nina experience na kazi hii.Naomba mtu mwenye gari ya Mkataba 175,000/- kwa wiki na kama hesabu ya wiki 160,000/-. Napatikana kwa namba 0687399176 naishi Dar es Salaam Wilaya ya Temeke.Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo class za leseni sijazielewa..
 
Nilichopinga ni gari kuchakaa kwa miaka mitatu. Kuna basi moja la Dar Express siku linasajiliwa nilikuwa na jamaa akifanya usajili (clearing agent). That was 2013.

Siku moja nikalipanda kuelekea Arusha. That was 2017. Lipo poa sana tu. Nikamuuliza dereva hii gari naikumbuka namba yake mana jamaa (clearing agent) amesajili nilikuwa nae siku anasajili. Mmebandua plate number mkaweka gari ingine ama ni basi lile lile? Jamaa akanambia mzee haya madude mkataba miaka saba unapiga kazi tu. Muhimu maintenance tu.

So kuwa na gari inayofanya kazi kwa miaka mingi na bado inapiga kazi ni hali ipo sana tu. Wanaozijua ngorika, saibaba, etc wanalijua hili.

Kuna kidia one moja ina miaka mitatu barabarani jamaa anaeindesha best yangu sana tu na nikiiona huwa nahisi kama imetoka yard vile.

Nimekupa mifano ya mabasi mana yanapiga ruti ndefu sana kwa mwaka. Basi kwa mwaka ukisoma km za mwanzo wa mwaka afu ukaja kusoma km za mwisho wa mwaka kwenye odometer utapata wazimu. Zinafukia km nyingi sana kwa mwaka.

Courtesy of miamiatz
Msaidieni Mkuu hapo kupata Uber ya Mkataba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom