Ninatabiri EAC kuvunjika soon!!!

Hivi TZ tukitana kujitoa EAC tunapaswa kufanya nini? ni Bunge kupiga kura au wananchi kupiga kura ya Maoni tujitoe kabisa EAC na tujikite SADC haswaaa!!

Ili kumaliza fitina zoezi hili lienda sambamba na kura ya maoni kuendelea au kusitisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar haina masilahi yeyote SADC ukilinganisha na EAC.
 
Mbona iko wazi! .............wewe ni sawa na mtabiri, kamuona mama mjamzito, anatabiri, wewe utajifungua mtoto wa kiume au wakike! au kwenye mechi ya mpira wa miguu unasema hapa, kuna mmoja atafungwa au drooooooooooooo



 
ma Tanzania bana,
i fear to call you stupid but you are!
ni nchi gani iliyotegemea kutoka kwa muungano na ikatoka?
hatuwezi kutoka kwa kumtegemea mkenya ama mganda watu wenye uchu wa kumwaga damu za watu ili wao wanenepe!
nasema hivi ni afadhali tuwe na ushirikiano na wanyama kuliko ninyi!
kwanza saa hivi ni mwendo wa kuelekea congo na Burundi, to hell with you! kwanza we dont need your asses for prosperity!
 
Integration is a process and by definition, a process is step by step. I dare say we or our leaders were overly ambitious. We signed the customs union protocol in 2005, common market in 2010, the target for monetary union was 2012 and political federation in 2015!
Fact Sheet:
1. Tanzania has the largest land compared to all the 4 partner states combined
2. Tanzania land is not parcelled/surveyed
3. Land ownership in tz is more or less communal in contrast to the other partner states
5. Tz has the Z'bar equation to resolve before engaging the intergration process in high gear
6. Arguably, Tz has more natural resources than other partner states
7. Tz is a ready market for goods from other partner states (we have the population and we don't have industries)
Circumspection in matters like these is the best approach. My worry "prophecy":
- we might witness the dissentegration of the EAC in less than 5 years from today!
-we might witness the crumbling of the union btn Tz and Z'bar in our lifetime!
 
^^ number 6 above ,that we have more natural resources than any partner state and yet paradoxically Tanzanians are poorest in region speaks volume of the kind of leadership we have. No wonder our neighbours have dismissed us as jokers.
 
Hizi akili za kibwege ndio matatizo yote,ndio maana wameamua kuendelea na mipango yao kivyao na anayelalmika na maneno ya kidwanzi ni watu kama wewe,...second world my azz!!!

MotherPaka, Have you gone to Kenya and See how those people live?. Their are living CLASSY Life. THE HAVE AND THE HAVE NOT, and there is a big Difference between them. Majority of Kenyans are living DOG Life.

The song of higher economy because of the Monetary value is Unrealistic to The Real life at homes.

Take an example,

Exchange rates of Japan Yen against US dollar is 1 Japanese Yen equals 0.010 US Dollar, almost about the same with Kenya Shilling V/S US Dollar i.e 1 Ksh equals 0.012 Dollar.

That means, from economic point of view, it is not the exchange rate that determines the Economic Growth of a country or Standard of Life. You can not even imagine to try to relate Japan Economy with Kenya Economy Based on that exchange rate.

In the matter of Economy Growth and Standard of Life improvement, never consider exchange rate.

We purposely devalued our Currency (Tsh) so as we can grow our economy realistically.








 
Hizi akili za kibwege ndio matatizo yote,ndio maana wameamua kuendelea na mipango yao kivyao na anayelalmika na maneno ya kidwanzi ni watu kama wewe,...second world my azz!!!

Unaandikanini tazama uchumi wa KENYA na RWANDA ndipo ujue

Based on what? Can you elaborate. Usiwe Bendera, uwe unatumia akili yako mwenyewe pia.
 
Nakuheshimu. Shikamoo.
 
Ardhi yenyewe watanzania tunayojivunia imegubikwa na migogoro chungu nzima ya wakulima na wafugaji. Serikali imeshindwa hata kutengeneza mgawanyo mzuri wa ardhi kati ya wakulima na wafugaji matokeo yake ni migogoro kila kukicha. Miaka mitano ijayo tutaingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe kugombea ardhi wakulima na wafugaji, hali ni mbaya.

Ni bora watanzania tungejikita katika KUSAFISHA NYUMBA YETU kuliko kuumizwa kichwa na hao jamaa wanaofanya mambo ambayo wanaona yanafaa kwa nchi zao na kutunyima sisi usingizi na kufanya tunayoona yanafaa kwa nchi yetu. Kama lengo la umoja wao wa mashaka ni ku FRUSTRATE Tanzania naona wametimiza maana frustration kila kona. Kuna watu saizi hadi wanasikiliza radio za Rwanda kwa frustration. Sisi tunaweza kuwashinda hawa kwa kujiimarisha kiuchumi watakuja wenyewe, bahati mbaya ndio hivyo hata kutumia rasilimali tumeshindwa
 

Utajengaje umoja na watu ambao wameamua kufanya rushwa ni sehemu ya maisha ya mtanzania kila siku. Wameamua kutotupatia vitambulisho vya taifa kwa vile vitawazuia wao kuendelea kumiliki mali nyingi walizopata kwa rushwa huku wakitumia majina ya bandia. Watu hao hao CCM wanashindwa hata kusimamia maswala ya ajira kwa vijana wetu na kusababisha vijana wetu kwa maelfu kukosa ajira na huku wachina na wakenya wakiwa waporaji namba moja wa ajira zetu.

Lazima tofauti za kisiasa ziwe kubwa zaidi wakati huu hili haya maCCM yajitambue, na kuipeleka nchi kwenye mstari sahihi ili nchi iweze kutumia rasilimali ipasavyo na kuwashinda hapo majirani zetu kiuchumi. Katika hali kama hii chuki zangu dhidi ya maCCM zinaongezeka maradufu
 

''CCM ni sawa na UKOO WA PANYA, baba Mwizi, Mama Mwizi, Mtoto Mwizi, Kaka Mwizi, Dada Mwizi, Babu Mwizi, Bibi Mwizi, Shemeji Mwizi, Mkwe Mwizi'' By Joshua Nassari

Sina maana hiyooooooo. Nasema tu CCM inaweza kuondoka Madarakani, msipo acha rushwa. Tehe! tehe! Kwi! kwi! haahaaaa! Mhhhmhhhhh!
 
Hali inayoendelea katika jumuia ya Afrika mashariki ni fukuto la siku nyingi,Wanyarwanda na Museveni si watu wa kuwaamini!
Sasa baadaya play boy Uhuru kushinda Urais kwa kushabikiwa sana na serikali ya CCM
Sasa wanatekeleza ndoto yao!
ANGEKUWA ODINGA NI RAIS UTOTO HUU USINGEPITISHIWA MGOGONI MWAKE!
 
Mkuu jana nilijaribu kutafuta data kuhusu individual economies among EA Countries lakini nikaishia njiani. Lakini kama data ulizotoa ni sahihi; basi kuna kila sababu kwanini Kenya wameanza kuwa na hofu. Yaani Kenya's GDP USD 66.03 millions; Tanzania USD 58.4 millions! Hawa jamaa walikuwa wamenitupiga gap la kutisha!!

Anyway, kila mmoja anamuhitaji mwenzake! Sidhani kama kuna mtu ambae anataka EAC ivunjike kwa maana ivunjike tu for no good reason! Lakini kama itaonekana EAC haina maslahim we can opt otherwise. Na kama nilivyosema kwenye posts kadhaa, Kenya wanatu-attack kisaikolojia ili tukurupuke na kwenda kuonana nao lakini sidhani kama anatamani EAC ivunjike wakati ikivunjika, Kenya ndo itakuwa hasara zaidi kwao kuliko Tanzania. Hawa wawekezaji na wachuuzi wote kutoka Kenya ambao leo hii hapa Tanzania wana-enjoy the fringe benefits of EAC; umoja ukivunjika na benefit zinaondoka automatically. Kwahiyo, cost of doing business kwao itapanda na ku-loose competitive edge. Wakati kwa Wakenya ndo hivyo, kule Kenya hakuna Watanzania wengi waliowekeza. Kwahiyo, net looser hapa atakuwa Kenya kwahiyo unless kama ni irrational decision maker; otherwise Kenyatta hawezi kuwa tayari kuona EAC inakufa labda sisi ndo tuanze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…