SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Kila nikilog in JF, jukwaa la kwanza kutembelea ni la Siasa. Jukwaa hili lina watu wenye mawazo zigzag na kama roho yako ndogo waweza kujikuta unatukana mtu matusi yote kwenye kamusi.Mwanzoni nilipata taabu sana, nikawaza: Ntaendelea kuumia mpaka lini? Ndipo kwa bahati nikasoma thread moja ya Dingswayo, inayoeleza juu ya ignore list na namna ya kuitumia.
Matumizi ya Ignorelist yamenisaidia sana kuondoa stress kwenye jukwaa la siasa maana wale wenye mawazo zigzag post zao zinafichwa! So good.
Unayesoma post hii hapa chitchat usijali haupo kwenye ignorelist yangu!
Au pengine mimi ndo nipo kwenye ignorelist yako?