ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
my cousin Lady doctor hebu njoo huku uone wanavyotuandama kama maandamano ya kujivua gamba yalivyo
Halo Bishanga. Ni hivi: Wadada hawawekwi kwenye ignorelist; kwenye ignorelist yangu hakuna hata nusu mdada. Hawa wadada ni kuwa-PM tu 24/7. Na ushauri zaidi ni kwamba hawa wawili ladydoctor na ladyfurahia usiwasogelee; ni mizinga yenye nyuki tayari! Utang'atwa!!!!!
Last edited by a moderator: