Ninarudi bongo jamani Wapambe Siwataki......

Naona wenzenu wameanza kukamatwa so muwe makini sana
Juzi airport nimeona wanaotokea Guangzhou wanapekuliwa mpaka sidiria
 
Sembe lanini Ulaya hakuna Sembe huko kuna Burger King MC Donald na chips na Mayai na kuku wa kukaanga yegella

Kweli rudi mkuu angalau ujifunze misemo mipya ya huku SEMBE ana maana ile mizigo inayobebwa na Punda, mwenyewe punda hajulikani
 
Last edited by a moderator:
umejiandaa vipi maisha ya uswahilini manake process za kufanya mambo hapa bongo utakoma,una kanyumba?gari siyo muhimu,una kamtaji ka kufanya kitu?au unategemea ajira???hahaaahaahaaa,natania tu ndugu
 
umejiandaa vipi maisha ya uswahilini manake process za kufanya mambo hapa bongo utakoma,una kanyumba?gari siyo muhimu,una kamtaji ka kufanya kitu?au unategemea ajira???hahaaahaahaaa,natania tu ndugu
Nikija na Mtaji wa Euro Millioni 1 haitoshi ndugu rosemarie ??
 
mizigo yote hyoooo......umebeba nini????maana sitaki kuamini ni nguo tu na viatu..karibu mjini jisikie nyumbani......
 
Karibu sana ila angalia mitaa utakayo kaa uwemakini na suala la kuogelea
 
Umepatia sana huko ndipo kwetu Mkuranga Hongera mimi ni Mzaramo wa mkuranga kwa Mama na Kwa baba ni Bagamoyo Kaole King'asti;

Basi Ukifika Kaole niPiemo unigawie Euro 500, nipo hapa Nyuma Shule ya Msingi, nafundisha midogo yako
 
Last edited by a moderator:
Basi Ukifika Kaole niPiemo unigawie Euro 500, nipo hapa Nyuma Shule ya Msingi, nafundisha midogo yako

Kesha Sema hataki wapambe mkuu! Mbona unaanza kujipendeza mapemaaaa hahaha
Wafundishe tu madogo utapata mshahara mwisho wa mwezi
 
Kesha Sema hataki wapambe mkuu! Mbona unaanza kujipendeza mapemaaaa hahaha
Wafundishe tu madogo utapata mshahara mwisho wa mwezi

Mkuu, hahaha, Nji hii usipojipendekeza utakula wapi? acha bwana, anaweza nipatia Pesa ya Catherine Ashton hyo,
 
Huyu anarudi rasmi umpeleki tena ughaibuni labda tu kutembea ila sio kimaisha
 
mizigo kama rais wa china akitokea bongo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…