Ha ..haaa... haaaa...!! tuh ..tuh ....tuh... kwe...kwe......!
The Native Son;528690
Maadui zetu wameongezeka saaaaaana!
Kwasasa mi nadhani wamefikia karibia 10!
Mbali ya hao ulowataja,kuna:
-UFISADI
-UWIZI WA KURA
-TAKRIMA
-MIKATABA MIBOVU na memgine meeengi!
Kweli swali lako limenifurahisha sana, unatafakari vyema,
na nakupa thanks bila kinyongo!