Ninapendwa na wasichana wawili, nifanyeje?

Ninapendwa na wasichana wawili, nifanyeje?

Wewe ndio unawajua vizuri na sikiliza moyo wako unakwambia ni nani atakuwa umechaguliwa na Mungu
 
Achana nao kata mawasiliano ndan ya wiki moja au zaid utaona nan mwenye kujal huyo ndo chaguo sahihi
 
Back
Top Bottom