Usiwe na mawazo mgando kupendwa nipendwe mie roho iruke ya mwingineHuu uzi nahisi umeanzishwa kwa lengo la kumrusha roho mtu fulani humu.. Ndio mambo ya wasichana hayo... Ni kuyazoea tu na kukubali kuwa ndivyo walivyo..
NB: Just my sixth sense, nothing personal!
Kwann Brother G Alikukela Kwan Jaman....??Hahahahahhaah nilikuwa motoooooo
Ah ah ah ah ah ah ah abUsiwe na mawazo mgando kupendwa nipendwe mie roho iruke ya mwingine
Jamani...haujui mwenzio umeniweka roho juuHahahahahah my hornet napendwa memee wenye wivu wafe
Hivi ni ww kweli au unafanya kumrusha moyo mtu humuHahahahahah my hornet napendwa memee wenye wivu wafe
Asante sanaaAh ah ah ah Kumbe Hongera Hornet
au umejipia mwenyewe kwa simu ingine.Picha duka we una Akili mno
Fungua pm yako naja fastaa!!Mie wazee ndo type zangu ila hawaji sasa!
Ah ah ah ha ah Ah Kisu Kimegusa Mfupa Mim SipooooooooohhhHuu uzi nahisi umeanzishwa kwa lengo la kumrusha roho mtu fulani humu.. Ndio mambo ya wasichana hayo... Ni kuyazoea tu na kukubali kuwa ndivyo walivyo..
NB: Just my sixth sense, nothing personal!
Sawa mkuu..Usiwe na mawazo mgando kupendwa nipendwe mie roho iruke ya mwingine
Kamata Fulsa Twende ZetuuuFungua pm yako naja fastaa!!
Yule Mama Jiran Yangu Tangu Jana Sidhan Kama Alilala Nina Iman Usingiz HakupataHapana kabisa hajawah nikera na hata kama akinikera hawezi kuniudhii
Ipo waziiFungua pm yako naja fastaa!!
Love you too babeHornet we unajuaga tunapendana ntakugawia upendo love u