Ninapendwa mie

Sawa Narumuk umekubali mawazo yako
Kuanzia leo sitakusonga ila anza kujifunza KUSAHAU. Kuwa mtu wa kulipiza kisasi yaani akikupenda mpende akikukataa mkatae mara kumi na maisha yanasonga mbele. Pole sana ndiyo maisha
 
Kuanzia leo sitakusonga ila anza kujifunza KUSAHAU. Kuwa mtu wa kulipiza kisasi yaani akikupenda mpende akikukataa mkatae mara kumi na maisha yanasonga mbele. Pole sana ndiyo maisha
Sawa
 
Hakuna lolote, hiko ni kijamaa umekiahidi mambo afu sasa hivi unakikimbia kimbia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…