King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,374
- 88,592
Na hakuna kipya kwenye dunia ,ndiyo maana tamaa najizuia.
UTU na UTULIVU.
UTU na UTULIVU.
Kwamba INASEMA UONGO?Kama unaendeshwa na mitandao utazeeka bila kuoa
Wikiendi iliyopita nimeshuhudia harusi 4. Hii ina maana kuwa watu bado wanaoa..
Kuwahimiza watu waende kanisani haimanishii hakuna raia wanaosilimu.Humu mambo mengine n ya kuyaangalia tu km yalivyo na kuyaacha likiwepo hilo la kutokuoa wakati mtaaani kila siku watu wanaoelewa na kuoa![]()
Kuwahubiri watu wasilimu haimanishii hakuna raia wanaosali Sala za msalaba.Mm hapa ninakadi Tatu za harusi 😂
Rudi sasa tuletee taarifa za waliokimbia ndoa wiki hii.Mm ninazo nne![]()
![]()
PUNGUZENI kukejeli wasiokubali hoja zenu.Wapinga ndoa wengi wameoa mpwa...labda hivi vitoto vya fomu foo, siksi na mwaka wa kwanza vyuoni
Nenda Rita ukapitie takwimu za talakaWikiendi iliyopita nimeshuhudia harusi 4. Hii ina maana kuwa watu bado wanaoa.
...
Nenda Rita ukapitie takwimu za talaka...
Na wanagongewa wake zaoHumu mambo mengine ni ya kuyaangalia tu kama yalivyo na kuyaacha likiwepo hilo la kutokuoa wakati mtaaani kila siku watu wanaoelewa na kuoa![]()