GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,782
- 18,335
Aaaah, Zawadi tena.[emoji1][emoji1]kunishawishi kavukavu hamna hata kazawadi
Basi Lala hivyohivyo, utaacha mwenyewe.
Halafu haya mambo zamani mlikuwa mnafundwa, kazi za mashangazi hizi.
Aaaah, Zawadi tena.[emoji1][emoji1]kunishawishi kavukavu hamna hata kazawadi
[emoji1][emoji1][emoji1]shangazi alipitiwa kutoa somoAaaah, Zawadi tena.
Basi Lala hivyohivyo, utaacha mwenyewe.
Halafu haya mambo zamani mlikuwa mnafundwa, kazi za mashangazi hizi.
Shangazi wa siku hizi sio.[emoji1][emoji1][emoji1]shangazi alipitiwa kutoa somo
Mkihitaji ukumbi mzuri wa kisasa, ziwani tafadhali msisite kunitafuta na nitaingia kweny kamati pia.Niko kwenye kikao cha Ndoa hapa. Kinanihusu. Naoa mwanzoni mwa mwezi wa tatu, uzoefu Miaka mitano.
[emoji1]wako busy na maishaShangazi wa siku hizi sio.
Hakutakii mema.
Mpwao Shimba ya Buyenze kasema hanipendi,Unadhani sijaona comment yake?Mimi sitaki hata kujipendekeza...simsalimii hata. 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]mpwa Bora unifunde niache uoga
Satoh Hirosh mpwawangu anakusalimia[emoji1]
Well said Doctor.Wikiendi iliyopita nimeshuhudia harusi 4. Hii ina maana kuwa watu bado wanaoa.
Usitishwe na utopolo wa mitandaoni humu ambamo kila mtu yuko huru kujiandikia cho chote anachotaka hata kama ni uwongo.
Muombe Mungu sana Akuletee mwanamke mwenye sifa unazozitaka halafu oa ufurahie ndoa yako. Changamoto zitakuwepo lakini kama utakuwa umepata mtu sahihi mmekuwa washikaji sana mengine yote mtayavumilia....
Usiogope!
Umenichekesha Sana.Kama mm aisee ninahofu balaa mpwa sijui naogopa kulala bila nguo 😀😀😀
Mkuu mimi team kataa ndoa!hapa nanogesha mada tu!dunia ya leo kuoa ni sawa na kufuga jini,masharti kibao na damu linakukausha.Tumesha-zizoea hizi hoja zenu za kijinga,, njooni na hoja za maana.
😂😂Mpwao Shimba ya Buyenze kasema hanipendi,Unadhani sijaona comment yake?Mimi sitaki hata kujipendekeza...simsalimii hata. 😀😀
Mkuu mimi team kataa ndoa!hapa nanogesha mada tu!dunia ya leo kuoa ni sawa na kufuga jini,masharti kibao na damu linakukausha.Tumesha-zizoea hizi hoja zenu za kijinga,, njooni na hoja za maana.
[emoji4] safi kabisa.Mkuu mimi team kataa ndoa!hapa nanogesha mada tu!dunia ya leo kuoa ni sawa na kufuga jini,masharti kibao na damu linakukausha.
1.MASANJANapata wasiwasi ya kuoa kutokana na haya ninayo yaona kila siku kwenye mtandao kuhusu maisha ya wana ndoa
Kila siku lazima nikutane na post ya watu kuachana wengine kufumaniana wengine kulea watoto ambao sio wao
Dah sijui tukimbilie wapi sisi kutafuta wanawake tutakao dumu nao
😂 Utazoea tuKama mm aisee ninahofu balaa mpwa sijui naogopa kulala bila nguo 😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23] DaahKuna options mbili tu duniani KUOA au KUOLEWA!
Maadam umeshaogopa ya kwanza?basi ya pili inakuhusu!kila la kheri
Broo dunia ndio hii na bora ukaowa leo kuliko uje kuowa huko mbele ndio baraaa zaidi bora sasa hivi mwanamke anaakaa japo mwezi huko mbele itakuwa ndoa jioni kesho asubuh anaamkia kwao na taraka kwahiyo usiogope na wew jitose hakuna atakayekushangaa ndio dunia imefikia stage hiyoNapata wasiwasi ya kuoa kutokana na haya ninayo yaona kila siku kwenye mtandao kuhusu maisha ya wana ndoa
Kila siku lazima nikutane na post ya watu kuachana wengine kufumaniana wengine kulea watoto ambao sio wao
Dah sijui tukimbilie wapi sisi kutafuta wanawake tutakao dumu nao
Wengine wanauanaNapata wasiwasi ya kuoa kutokana na haya ninayo yaona kila siku kwenye mtandao kuhusu maisha ya wana ndoa
Kila siku lazima nikutane na post ya watu kuachana wengine kufumaniana wengine kulea watoto ambao sio wao
Dah sijui tukimbilie wapi sisi kutafuta wanawake tutakao dumu nao