Ninaomba temporary job isiyozidi miezi miwili

Huwezi kua na miaka 24,25,26,27 na 28 kwa wakati mmoja..Hii sentensi ni ya kipuuzi na haina maana
Msaada wenu wakuu, ninaomba kazi ya kufanya isiyozidi miezi miwili.

Lengo kuu ni kujiboost nipate mtaji nijiajiri .

Elimu yangu ni ya chuo kikuu japo sijamaliza ,nimesitisha masomo kwa muda kwa sababu za kifedha.

Umri wangu ni miaka isiyozidi 28 ila haipungui 24.

Makazi dar es salaam.

Sina matatizo yoyote ya kiafya.
 
We jamaa mara upo form6 mara upo chuo hueleweki
 
Back
Top Bottom