Ninaomba temporary job isiyozidi miezi miwili

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,452
Msaada wenu wakuu, ninaomba kazi ya kufanya isiyozidi miezi miwili.

Lengo kuu ni kujiboost nipate mtaji nijiajiri .

Elimu yangu ni ya chuo kikuu japo sijamaliza ,nimesitisha masomo kwa muda kwa sababu za kifedha.

Umri wangu ni miaka isiyozidi 28 ila haipungui 24.

Makazi dar es salaam.

Sina matatizo yoyote ya kiafya.
 
Ukipewa biashara usimamie utasema umeingiza kati ya elfu 3O hadi elfu 40..
Piga kazi mkuu,
nenda kwenye bar kaombe kazi hata ya usaidizi jikoni,
nenda kwenye zile club kubwakubwa omba kazi ya kukusanya chupa zilizopasuka,tissue na ulinzi wa ndani.
Tafuta bakery zozote kaombe kibarua
 
Huyu dogo nimechat naye jana usk..nikawa namuuliza ahad alizoahidiwa amefatilia??akanipa jibu zuri tu kuwa walioahid watatelekeza soon..na mie nikamwambia nina harus namalizia leo nikimaliza nami ntamchek..duh
Akili zero huyo yani alivyo nadharau na kazi za watu ambazo zinawaendeshea maisha yao (kuuza karanga n.k) huyo sio wakumsaidia hata kidogo
 
Back
Top Bottom