Ninaomba temporary job isiyozidi miezi miwili

Nenda Jubilee Insurance, Ofisi zao zipo ghorofa ya 8 katika jengo la Amani Place opposite na ilipo Serena Hotel.

Wanahitaji Sales Agents, vigezo ni kuanzia mwenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea.

Majukumu yako itakuwa ni kutafuta wateja wa kukata BIMA ya Afya na Maisha. Watembelee kwa maelekezo zaidi, malipo ni commissions kulingana na wateja utaowaleta..

Wakati mwingine kufanya kazi hata kama mazingira ni magumu pia ina faida kuu mbili muhimu..
1. Unajitengenezea Working Experience
2. Unajitengenezea Network/Connections

Tafakari, chukua hatua. Kwa ajira nyingi zaidi sasa hivi - Waajiri wanaangalia experience and extra Skills alizonazo mtu apart from Educational qualifications, ambazo atapata benefits kupitia kwazo.

All the best
 
Kwa mteja mmoja commission yake inaweza ikawa kiasi gani mkuu au inakuwa interm of percentage .
 
Kwa taarifa nilizopewa ni 35% per each client you bring..

Ila kwa usahihi na kupata maelezo mazuri, itakuwa ni vizuri ukiweza kupita katika ofisi husika maana wana uhitaji wa watu.

All the best
 
Msaada wenu wakuu, ninaomba kazi ya kufanya isiyozidi miezi miwili.

Lengo kuu ni kujiboost nipate mtaji nijiajiri .

Elimu yangu ni ya chuo kikuu japo sijamaliza ,nimesitisha masomo kwa muda kwa sababu za kifedha.

Umri wangu ni miaka isiyozidi 28 ila haipungui 24.

Makazi dar es salaam.

Sina matatizo yoyote ya kiafya.
kuna kazi ya kulisha ng'ombe 12 wa maziwa na kukamua maziwa kibaha unaweza?

wajibu
1. kukata majani na kuwalisha kila siku pamoja vyakula vingine kama pumba na maji
2. kuhakikisha banda ni safi mda wote
3. kukamua maziwa asubuh na jion
4. kuhakikisha unatunza kumbukumbu ya idadi la lita ulizokamua kila siku
5. kufanya kazi zote utakazopangiwa na mkuu wako

mshahara ni tshs 100000 per month, pamoja na chakula na malazi
n.b mkataba ni kuanzia miez 6
 
Hapana ,siiwezi hiyo kazi.
 
kazi nzuri kabisa unakataa unakulaa hapo hapo Fanya miezi miwili utapata hizo lakimbili huku ukijiongeza kiakili umeambiwa kamua Lita 20 unaongezea kukakumua Lita tatu za kwako iba Lita zote ikiwezekana
fanya wewe.

mkataba unasema miezi sita ,hapo bado hujakutana na changamoto nyingine za kazi.
 
Kwahyo suala la kiepe umeliacha ...bas ungesema halijaclick akilin maana Mega mie namfaham sio wa kuahdi na kupotea tu..bas bora umwambie!
Kila la heri
Nilivyomeulewa Naja naja Biashara ya Chips ndio plan yake kubwa (plan A) ila kutokana na ukubwa wake ndio akaja na plan B ambayo ita Boost plan A, pia kutafuta kazi hii pia nia plan C ambayo ata Boost plan B nakumaliza kwenye Plan A.
 
Upo sahihi mkuu
 
Pesa yakununua hawo vibua atapata wapi.
Ana dharau inabidi akose hata ya kununua boxer ili ajifunze kuheshimu kila kazi.

Aliandika hawezi kufanya kazi za kujidhalilisha kama kuuza maji barabarani n.k wakati hizo kazi ndizo zilizokuza na kufanya watu wasome yeye anazidharau huku hana hela pumbavu kabisa huyu sio wakumpa ni kheri hizo hela mkavutie bange
 
Utoto unakusumbua
 
Utoto unakusumbua
Yani wewe dogo na vimiaka vyako 25 unaniita mimi mtoto?

Nakuzidi kila kitu wewe kapuku ombaomba wa mitandaoni huna kusini wala kaskazini alafu dogo dharau zako za kudharau kazi za watu iwe mwanzo na mwisho ukome kabisa!

Hivyo vimiaka ulivyo navyo ongeza muongo mmoja na nusu ndio utaikuta miaka yangu boya wewe uombaomba uache kafyatue matofali huko vingenevyo nitakuita nikufirauni
 
Inaonekana alikukera sana huyu jamaa yani nacheka sina mbavu
 
Back
Top Bottom