Ninaomba msaada wa Soko la Mhogo.

Ninaomba msaada wa Soko la Mhogo.

AnkoK

New Member
Joined
May 11, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Habari wadau,
Ninauza Mhogo uko Shambani, Kibaha-Soga.
Nililima Hekari 10(10Acres). Una uchungu,hivyo unafaa kwa matumizi ya Unga,na kwa mahitaji ya viwandani.
Naulizia Wa-china wanaonunua Mhogo hapa Nchini.
IMG-20190729-WA0000.jpeg
IMG-20190729-WA0002.jpeg
 
Tafuta connection ya wateja Kutoka Rwanda [emoji1206] mkuu!!
 
Back
Top Bottom