Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Kama una moyo wa kusoma nenda shule za gvnt bure kabisa kuhangaika na miada ya million itakusumbua bora ungehangaika kutafuta hela ya tution ukiwa gvnt mungu akutangulie
 
Ni PM nikupe kibarua cha kulima kama upo Dar,mambo yakuomba usaidiwe pesa bure hayapo siku hizi ,wakati wa likizo unatakiwa kutafuta kibarua chochote hata cha kulima badala ya kutwa kukaa kushabikia Diamond au Chadema /CCM
 
Ningeweza ningefanya siwezi ndio maana nikafika hatua hii jaribu kunielewa
 
Kama una moyo wa kusoma nenda shule za gvnt bure kabisa kuhangaika na miada ya million itakusumbua bora ungehangaika kutafuta hela ya tution ukiwa gvnt mungu akutangulie
Siwezi kuhama kwa kuwa nshaanza huku ndo maana nikasema miaka miwili five na six ntasoma government ntajisomesha mwenyewe
 
Ufadhili Natumaini mnaendelea vizu...www.jamiiforums.com/index.php?posts/25196903/
Mtoto ana mwandiko mzuri sana anajitahidi, haya uje ujieleze vizuri kabisa hapa

Sasa kumbe una familia kabisa na unasema itajitahidi, kwanini isijitahidi sasa? Waliwezaje miaka 2 iliyopita washindwe sasa? Walithubutuje kukupeleka shule ya gharama hiyo ikiwa uwezo haupo? Unajua maana ya msaada na tafsiri ya mtu anayehitaji kusaidiwa bado ni tatizo kubwa kwa wengi. Kwanza unasaidiwaje ikiwa unaficha taarifa zako. Wewe ni nani? Unasoma shule gani? Uthibitisho wa kuwa umeshindwa kulipa ada ni upi? Hebu muache uhuni, mfanye kazi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…