Ninaomba msaada wa kulipiwa ada


Wewe Binti/Mwanaume unaomba msaada wa ada alafu unaingia mitini?, yaani post zoooote hizi za kukutaka ueleze vizuri, huzioni? huna adabu wewe Binti/Mwanaume
 
Ni hope and joy na ni private , nilipomaliza darasa LA saba government nilipata ufadhili KANISAN lakini mfadhili kwa sasa hayupo ameenda nchini kwake ni muitaliano kwa ajili ya tiba kwan anasumbuliwa na tumbo hivyo mawasiliano yatakuwa hayapo kwa miaka kadhaa na siwezi kulipa ada kama nilivyosema awal na ndio maana nikasema miaka miwili mingine ninaamin nitajimudu
 
Mnaweza msiniamini na wala siwezi kulazimisha kuniamini kwa kuwa dunia ya sasa INA matapeli wengi lakini sina jinsi ni hayo tu
 
Kama una moyo wa kunisaidia utanisaidia kama hauna Mungu atakuwezesha utapata
 
Kwa mwaka shingapi ada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…