Ninanunua Gallstone (Mawe ya kwenye Nyongo ua Ng'ombe)

Ninanunua Gallstone (Mawe ya kwenye Nyongo ua Ng'ombe)

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,485
Reaction score
2,006
Ninanunua Mawe ya kwenye Nyongo ya ngombe. Kwa bei ya 35,000 mpaka 38,000 kwa gram. Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.
 
Kama haya??
images%20(12).jpeg
 
katika vitu ambavyo sivielewi ni madini.waache wenye sekta zao
 
Watu Wa Mwanza Tabora Kusanyeni Viroba Biashara Tayari. Kwa Kiswahili Ni Ujasiriamali (Entrepreneurs)
 
Back
Top Bottom