Ninani na mfahamu Ruttashubanyuma???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nidhaili huyu ni mahili lakini huyu mahiri nidhahili na pata tabu kufahamu umahili wake
Hasa tusomapo mashahiri yaliyomahiri nidhahili sisitahili hata kugusa shahiri lake
Anastahili kuitwa fahari kwakuwa nifahari wa mashairi yake
Nidhahili yeye ni stahimili yakuitwa fahari mashiri ni ufahari wake.

Ruttashubanyuma umekuwa nguri wa mashahiri
Katu sitasimama kusema wako ufahari
Nisiku za nyuma kutujia na tungo zako hariri
Nidhahili yeye ni stahimili yakuitwa fahari mashiri ni ufahari wake.

Mwisho zangu beti mbili,kwani najua wewe ni mahiri
Katu sitowe badili,ufahari ulionao juu ya yako shari
Nakuomba usibadili hii yako staili wengi twapenda mashahiri
Nidhahili yeye ni stahimili yakuitwa fahari mashiri ni ufahari wake.
 
KakaKiiza hebu kamtoe jamaa huko aliko
Aje atuambie juu ya umahiri wake
Atuambie ni nani aliyempata wa kumfundisha
Maana ayaleta kwa vina na tenzi
 
Sasa Rutashubanyuma nakuvizia kama mtu anavizia nyoka ukichomoza ninawewe!!maana naona umemeza pin!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom