Hivi kuna mtu aliyepinga lowassa kusema sio rais....jamani ndio maana tunaitwa wapuuzi..na malofa..hoja ni kwamba lowasa anatakiwa ajibu tuhuma zake...pili atueleza atatumia mikakati gani kuziba mianya ya rushwa..ili kuweza kufanikisha maendeleo ya nchi
Alipo Tupo
Mwaka huu hakuna ubishi rais ni Lowasa hata wewe unajua.Labdae Rais wa huko kwenu Monduli, sisi huku hatumjui kabisaaa na wala asitegemee wala kujidanganya kuwa ataingia Ikulu, hizo no ndoto za mchana kweupeeeee!!!
Labdae Rais wa huko kwenu Monduli, sisi huku hatumjui kabisaaa na wala asitegemee wala kujidanganya kuwa ataingia Ikulu, hizo no ndoto za mchana kweupeeeee!!!
Jamani tusifarijiane mwaka huu CCM imekwisha Lowasa anachukua nchi...
Jana nikiwa nimesimama sehemu napitiapitia vichwa Vya habari kwenye magazeti pale posta mpya, alikuja kijana mmoja aliyejionyesha kama ni msomi....basi kuna gazeti moja liliandika Ukawa wakipewa nchi wataigeuza kua Libya "japo sikumbuki vizuri kile kichwa" na lingine liliandika ntaibadilisha Z'bar kuwa kama singapore asema mahalim seif sharif hamad... Sasa yule kijana akaanza kuponde ile ya seif akisema huo ni usanii haiwezekani, alafu akaanza kusifia ile ya magufuli isemayo wakichukua wapinzani nchi itageuka kua "Libya" jamani yule kijana alizomewa galfa na watu wote waliokua pale ailulizwa maswali magumu..
watu wakaanza kamwambia kawaambie waliokutuma, watanzania tumeamua Lowasa raisi wetu...nikasema safi sana watu wameamka. .sasa wewe ni nani upinge kuwa lowasa sio raisi?
Lowasa raisi ajaye, lakini waziri mkuu atatoka CCM, Kwani CCM, watapata wabunge wengi
Hivi kuna mtu aliyepinga lowassa kusema sio rais....jamani ndio maana tunaitwa wapuuzi..na malofa..hoja ni kwamba lowasa anatakiwa ajibu tuhuma zake...pili atueleza atatumia mikakati gani kuziba mianya ya rushwa..ili kuweza kufanikisha maendeleo ya nchi
Kwa nin hebu toa sababu tano
Labdae Rais wa huko kwenu Monduli, sisi huku hatumjui kabisaaa na wala asitegemee wala kujidanganya kuwa ataingia Ikulu, hizo no ndoto za mchana kweupeeeee!!!
Mgalikuwa hamumjuai, mbona mwamjua anapotoka?
Mmepandikizwa chuki na viongozi wenu ninyi, hata aibu huoni? Hebu niambie kitu kimoja tu (au nusu tu) alichokukosea Mh. Edward Lowassa? Bila shaka huna, ni mkumbo tu unafuata bila hata ya kujihoji mwenyewe!
JITAMBUE NDUGU, ULIMWENGU UNAENDA KASI SANA!
Jamani tusifarijiane mwaka huu CCM imekwisha Lowasa anachukua nchi...
Jana nikiwa nimesimama sehemu napitiapitia vichwa Vya habari kwenye magazeti pale posta mpya, alikuja kijana mmoja aliyejionyesha kama ni msomi....basi kuna gazeti moja liliandika Ukawa wakipewa nchi wataigeuza kua Libya "japo sikumbuki vizuri kile kichwa" na lingine liliandika ntaibadilisha Z'bar kuwa kama singapore asema mahalim seif sharif hamad... Sasa yule kijana akaanza kuponde ile ya seif akisema huo ni usanii haiwezekani, alafu akaanza kusifia ile ya magufuli isemayo wakichukua wapinzani nchi itageuka kua "Libya" jamani yule kijana alizomewa galfa na watu wote waliokua pale ailulizwa maswali magumu..
watu wakaanza kamwambia kawaambie waliokutuma, watanzania tumeamua Lowasa raisi wetu...nikasema safi sana watu wameamka. .sasa wewe ni nani upinge kuwa lowasa sio raisi?
Kwanza lazma utambue hakuna kinachokuja kirahis lazma ukipiganie kwel so sijakuelewa kuhusu kuwa na uchu wa madaraka na lengo la mwanasiasa yeyote au chama chochote dunian ni kushika dola je ccm kung'ang'ania miaka yote hiyo sio uchu wa madaraka au huyo magufuli kuwa mbunge miaka yote sio uchu wa madaraka?kwa nin iwe kwa lowasa tu?fafanua mkuuMnafiki,fisadi,mtu Wa Makundi,mwenye Tamaa Ya Madaraka,maneno Yake Na Vitendo Vyake Haviendani...