Ninani anayebisha kuwa Lowassa sio rais?

Ninani anayebisha kuwa Lowassa sio rais?

lowasaa akajenge kwanza monduli vijana wanaishia kusuka salooni mwenge
 
Tushaamua Lowasa ndo Rais wetu
 
Ambao hawakusoma lakini wanavyeti na maofisini wamebebwa kama mama na mwanae ndio wanamkataaLOWASA.
 
cjawah kuwaona wa2 wa ajabu km membes wa chadema),
hv tangu ln mgen akakutawala mwenyeji kwa muda wa cku 2?
fikiri kabla ya kutenda km jembe silaa,
hv nan ashawah kujiulza kwann silaa alikaa kmya kwa muda mrefu bila kumzungumzia lowassa?
sku zote tz 2tabak kuwa wajinga.
usikurupuke ktk maamuz yako,usiwe mvivu wa kufkria mambo.
mm nxhaungana na silaa,
ukwel n kwamba lowasa katumwa na wanaccm kuja kuharbu chama chetu.
kumbuken wakat lowassa alipokua aktafuta wadhamin mikoan akiwa ccm.tulpiga vita kampen za kutumia pexa,lkn mbona cc tumempokea na anaendelea kutumia pexa vilevile &kutulaghai.
ukwel n kwamba mwaka huu wagombea wote n ccm kaz n kwe2 kumchagua nan bora..
pia ka ukijua lowassa asipopata kt cha urais atastaafu km silaa xaxa ndpo mtakapoelewa umuhimu wa jembe silaa upo wap.
cku zote chama maskin hakiongozw na mtu tajiri.
jaman ka ukijua kua msomi ishi naye kisomi.
uckubal jambo usoljua kuwen wataft kwann ccm walwah kupga kura za maon kabla yetu chadema?
2nataka elimu bora sio elimu bure.
 
Slaa kabubujikwa mpaka povu la mwisho hakuna wa kumwelewa.ameishia kuvulia mpaka taulo aliyokuwa kabakisha.Lowasa ana upako
 
Salute baba!
 

Attachments

  • OTH_6079-628x356.jpg
    OTH_6079-628x356.jpg
    28.9 KB · Views: 58
Tunataka facts sio zile hadithi za zamani eti wachaga wezi mara wapare wabahili. Huo ulimwengu hata kizazi chake hakipo tena.

We Unataka Facts Zipi?Kama Za Ufisadi Nitakwambia Kafuate Kwa Mnyika Maana Alisema Anazo.
 
Ndio maana nakwambia hizo ni hadithi

Sasa Hv Hadithi Kisa Mnashindwa Kujitetea Kwanin Mnakula Matapish Yenu..Sasa Hv Ufisadi Kwenu Ni Kama Sindano Ya Moto,likisemwa Tu Mnaumia Mkikumbuka Miaka 8 Ulikua Ndo Wimbo Wenu...Sasa Hv Kwishney...
 
Mnafiki,fisadi,mtu Wa Makundi,mwenye Tamaa Ya Madaraka,maneno Yake Na Vitendo Vyake Haviendani...

Una akili ndogo kama ya panya,panya akisha kudonoa kidole anakupulizia iliusisikie uchungu sindio?ufisadi wa loasa ndio umewekambele je umeshamuuliza magufuli akakujibu?ESCROW ya juzijuzi tu ni ya nani na amekupajibu eti ni ya nani?au ujafikiri kua tumesahau mereta,doans?au utanishangaa nikishangaa twiga kupanda ndege?je magufuli ameshakujibu kuhusu kupigambizi kigambon weee acha masiara.
 
Acha uongo ww eti wanamshangilia... unamfagilia mtu wa dhehebu lako tuu
 
Kwasababau tu huyo kijana kazomewa ndio Lowassa anaenda Ikulu.

Kamwambie aliekutuma Ikulu ni pahala patakatifu sio pango la walanguzi.
 
Una akili ndogo kama ya panya,panya akisha kudonoa kidole anakupulizia iliusisikie uchungu sindio?ufisadi wa loasa ndio umewekambele je umeshamuuliza magufuli akakujibu?ESCROW ya juzijuzi tu ni ya nani na amekupajibu eti ni ya nani?au ujafikiri kua tumesahau mereta,doans?au utanishangaa nikishangaa twiga kupanda ndege?je magufuli ameshakujibu kuhusu kupigambizi kigambon weee acha masiara.

Sawa Mwenye Akili Kubwa We Ulishawah Kumuuliza Mbowe,lissu,mnyika Ushahid Waliosema Wanao Juu Ya Lowassa Wakakujibu?Ulishawah Kuwauliza Lowassa Aliposema MWenye Ushahidi Apeleke Mahakaman, Kwanin Hawajampeleka Mahakamani Hadi Sasa Wakati Walisema Ushahidi Wanao?
 
kwani waziri mkuu anachaguliwa na bunge?

Ni kweli kabisa wAZIRI MKUU ANateuliwa na raisi na kupitishwa au kuidhinishwa na bunge kwa kupigiwa kura za wabunge. hii ni kwa mujibu wa ibara ya 51(2) ya katiba ya jamhuri ya muungano.
 
mkuu mimi nimeweka silaha chini namuunga mkono lower sir ila NEC oct,wakivurunda ntainyanyua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom