Ninani anayebisha kuwa Lowassa sio rais?

Ninani anayebisha kuwa Lowassa sio rais?

Kuhusu ufisad hakuna ushahid wa moja kwa moja other wise angeshafungwa na ccm ndo jumba la mafisadi 2.kwan huyo maguful hiyo timu ya wanaompigia kampen hawatalipwa fadhila unafikiri and mwanasiasa usipokuwa na makund ni dalil ya kutokua na ushawishi kitu ambacho c kizur kwa kiongoz kwa sabab unaongoza watu weng hata walio against na wewe na sijakuelewa vizur kuhusu suala la unafik na kutokumaanisha anacho sema fafanua kidogo mkuu

Mnafiki Kwa Kuwa Kwa Kauli Yake Alisema Hawez Kuhama Ccm Na Asiyempenda Yeye Kua Ccm Ahame Yeye,leo Kiko Wap?Huyu Leo Anasema Ataondoa Umaskini Lakin Alikuwa Wazira Hyohyo Lakushughulia Umaskini Alifanya Lip?Alikuwa Wazir Mkuu Alishndwa Kufanya Lip Ambalo Leo Anadai Atalifanya?
Ukisema Hamna Ushahid Wa Yeye Kuwa Fisad Mim Ntakuuliza Miaka 8 Ukawa Wanapga Kelele Yeye Ni Fisadi Inamaana Walikua Wanaigiza?
 
Lowassa Akiwa Raisi Wa Nchi Hii Mimi Nabadili Jinsia Yangu Nakua Mwanamke.
Raisi Wa Nchi Ajae Ni Dk.J.P Magufuli.Mwenye Masikio Na Asikie
 
Lowassa Akiwa Raisi Wa Nchi Hii Mimi Nabadili Jinsia Yangu Nakua Mwanamke.
Raisi Wa Nchi Ajae Ni Dk.J.P Magufuli.Mwenye Masikio Na Asikie

hivyo wewe ni gay ila unataka tu kujirasimisha but usitumie kigezo cha lowasa

ila jiandae kumuona lowasa kuwa rais
 
Lowassa Akiwa Raisi Wa Nchi Hii Mimi Nabadili Jinsia Yangu Nakua Mwanamke.
Raisi Wa Nchi Ajae Ni Dk.J.P Magufuli.Mwenye Masikio Na Asikie
Sijaelewa mkuu..yani utatoa ule mtandao pendwa,au?
 
Lowassa Akiwa Raisi Wa Nchi Hii Mimi Nabadili Jinsia Yangu Nakua Mwanamke.
Raisi Wa Nchi Ajae Ni Dk.J.P Magufuli.Mwenye Masikio Na Asikie

hivyo wewe ni gay ila unataka tu kujirasimisha but usitumie kigezo cha lowasa

ila jiandae kumuona lowasa kuwa rais
Huyu jamaa hata mimi sijamuelewa kabisa
 
Nipo singida hapa ni Lowasa tuu kila kona
 
Vijana mmejaa mihemko.
Jamani tusifarijiane mwaka huu CCM imekwisha Lowasa anachukua nchi...

Jana nikiwa nimesimama sehemu napitiapitia vichwa Vya habari kwenye magazeti pale posta mpya, alikuja kijana mmoja aliyejionyesha kama ni msomi....basi kuna gazeti moja liliandika Ukawa wakipewa nchi wataigeuza kua Libya "japo sikumbuki vizuri kile kichwa" na lingine liliandika ntaibadilisha Z'bar kuwa kama singapore asema mahalim seif sharif hamad... Sasa yule kijana akaanza kuponde ile ya seif akisema huo ni usanii haiwezekani, alafu akaanza kusifia ile ya magufuli isemayo wakichukua wapinzani nchi itageuka kua "Libya" jamani yule kijana alizomewa galfa na watu wote waliokua pale ailulizwa maswali magumu..

watu wakaanza kamwambia kawaambie waliokutuma, watanzania tumeamua Lowasa raisi wetu...nikasema safi sana watu wameamka. .sasa wewe ni nani upinge kuwa lowasa sio raisi?
 
USHINDI KWA LOWASSA (UKAWA, CHADEMA)NI LAZIMA, MAANA NI MPANGO WA MUNGU.

Maana MUNGU anasema hivi, Kwa sababu hiyo, MIMI nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, "kazi ya ajabu na muujiza " na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa. Isaya 29:14.
Kazi ya ajabu ni kama vile alivyowavusha Israeli katika bahari ya sham.
Ayubu 42:2~ imeandikwa, Najua yakuwa waweza kufanya mambo yote, Na makusudi yako hayawezi kuzuilika. Anamaanisha, anachopanga MUNGU mwanadamu, kwa nafasi yake, akili yake, kwa nguvu zake, kwa hekima yake ya kidunia, kwa jina lolote alilonalo katika dunia hii kamwe hawezi kuzuia kusudi la MUNGU kutimia kwa aliyemkusudia, hata mumchafue kivipi!

Ndiyo maana anasema tena hivi, Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni "nguvu ya MUNGU". Kwa kuwa imeandikwa, Nitahiharibu hekima yao wenye hekima,
Na akili zao wenye akili nitazikataa.
Ina maana yeyote atakaye waza au kutaka kubadili matokeo halali ili kuzuia kusudi la MUNGU, akili hizo atazikataa, na hiyo hekima ya kibinadamu ataiharibu. 1Korinto 1: 18-19
Mwenye sikio na asikie Roho anasema na Watanzania.

Amani ya Yesu iwatawale mioyoni mwenu
 
Naona umati wa watu umeanza kushtuka sasa anarudi mmoja mmoja kimya kimya. Waliobakia kum support Lowasa wengi wao ni wale wale wapiga kelele katika kila uchaguzo. Hapa kazi tu.
 
USHINDI KWA LOWASSA (UKAWA, CHADEMA)NI LAZIMA, MAANA NI MPANGO WA MUNGU.

Maana MUNGU anasema hivi, Kwa sababu hiyo, MIMI nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, "kazi ya ajabu na muujiza " na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa. Isaya 29:14.
Kazi ya ajabu ni kama vile alivyowavusha Israeli katika bahari ya sham.
Ayubu 42:2~ imeandikwa, Najua yakuwa waweza kufanya mambo yote, Na makusudi yako hayawezi kuzuilika. Anamaanisha, anachopanga MUNGU mwanadamu, kwa nafasi yake, akili yake, kwa nguvu zake, kwa hekima yake ya kidunia, kwa jina lolote alilonalo katika dunia hii kamwe hawezi kuzuia kusudi la MUNGU kutimia kwa aliyemkusudia, hata mumchafue kivipi!

Ndiyo maana anasema tena hivi, Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni "nguvu ya MUNGU". Kwa kuwa imeandikwa, Nitahiharibu hekima yao wenye hekima,

Acha Kupotosha Maandiko.Boya We!
 
H.T.P nilikuwepo bwana jamaa kachomekea safi na mwili wa wastan walitaka kumrukia yule mjinga haji kurudia
 
Last edited by a moderator:
Lowassa aepukiki!
kama ukiweza kubadili majira ya usiku na mchana, basi na Lowassa hataweza kuwa rais, lakini kama huwezi kubadili majira, Lowassa asubuhi na mapema ni Rais wa Tanzania.
 
Hadi sasa hivi hali imeshajibainisha kuwa lowassa hana majibu ya maswali mengi na nawapambe wake wengi tu wameshapigwa ganzi bado wewe tu,

wananchi hawataki maswali, wanamtaka Lowassa na mabadiliko...
 
Jamani mi sinzungumzii mambo ya ukabila hapa nazungumzia uhalisia wa nilichokiona pale posta...
Jamani mimi nawashauri watu wenye mapenzi makubwa saana na wagombea nendeni taratibu, kura bado haijapigwa na wala hujui nani atampigia nani, wewe timiza wajibu wako acha ushabiki washauri watu wapige kura, lakini ukianza hivyo mfano Mgombea wako kura zikiwa chache si utakuwa mwanzo wa vurugu? Kumbuka hupigi kura peke yako au na watu uliowakuta kwenye kijiwe, usilete matokeo ambayo hayajafanyika. Tutavuka tukifika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom