Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
Mimi ni kijana nasafiri kuja Dar Jumatano na ninatafuta dada wa Dar atakayenionyesha hilo jiji kwa sababu nitakuwepo pale kwa wiki mbili kikazi na ningependa kujua sehemu kadhaa kama vile beach, sehemu za kuburudika na chochote kile cha kuvutia jijini Dar.