Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi.
Ijapokuwa ni haki yake lakini hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa.
Atafuata slogan za ACT rasmi
Hana uwezo tena kujitambulisha kama mtetezi wa haki za waislam bali atakuwa mtetezi wa ACT wazalendo.
Kazi iliomshinda sheikh Mbukuzi mapema, sheikh Kundecha aliifanya yeye kwa miaka zaidi 40. Hivi sasa rasmi inaenda kumshinda yeye.