Ninampenda kweli huyu mwanaume

yanni i wish annikubali jinsi nilivo
naoana hutaki kuukubali ukweli, sasa kama unataka akukubali hivyo ulivyo we mueleze yote kwa then muachie mwenyewe aamuae, akiamua kusepa poa akiuamua kubaki poa,
 
anasema kama sitaki kumpa tusitafutane wala nisiende kwake tena maana ninamtega tega bila sababu.si ndo anataka kuniacha hivo jamani? nataka nikae tufanye mambo yote .tuinjoy pamoja except sex i wish ingewezekana

hello smile...hapa nimepapenda
 
hivi smile huwezi jua mwanamme anayekupenda?

Tatizo baadhi ya wanawake huwa hawawapendi wanamme wanaowapenda kiukweli, wanakuwa na taste yao tofauti ambayo unakuta si lazima awe anampenda kwa dhati bali kwa kupass time tu.

dah usiseme hivo kongosho? nitamegwa na wangapi sasa?
 
Kwani yule wa kwanza aliyekuacha hujawahi ku-sex naye? au hujiamini?

tulido tena sana tu na akaniacha,na huyu nifanye nae tena akiniacha/ nitakuwa nimemegwa na wangapi jamani mimi?
 
ananipenda kama ninavompenda kweli? hatoniacha? i wish nipasue moyo wake nione

katika mahusano mengi na hasa katika ndoa nyingi mume akitoka kidogo au kama anafanya kazi mbali na mahali alipo mkewe..mara nyingi jambo kama hili hutokea..utasikia mke anampigia mume simu na jambo la kwanza kuuliza ni 'UKWAPI?(uko wapi)'' na baada ya swali hili hufuata maswali mengine kama unafanya nini? nk nk....yote hii ni kutaka kujua mwezi wako anaendeleaje lakini pia ndani ya swali hili huwa kuna mashaka na kupungukiwa na imani mflani...

kuupima upendo wa mwenzako kwa kusema ''hivi ananipenda kama ninavyompenda mimi?'''...hii inaweza kukfanya usiwe na imani na mwenzi wako siku zote..lakini kubwa ni kwamba namna mnavyoendana na kusikilizana na namna mnavyoishi ninyi wawili ndani hapo ndipo unawezi kujua kama mwenzako anakupenda..
yaonekana smile huko nyuma ulijeruhia sasa umechukua ule mzani wa majeru yale uliyopata na kuweka kwa huyu jamaa chini ya mwamvuli wa ''je ananipenda kama mimi ninavyompenda''?..matendo yake na namna anavyokuchukulia na kukujali ndivyo vinaweza kuonyesha kama unapendwa au la..

lakini pia unajua smile haya mambo ya mahusiano haya mtu mwingine hawezi kuyazungumzia kwa niaba ya wahusika isipokuwa wahiska wenyewe..niliwahi kusema huko nyuma kwa mtu mmoja humu jamvini kuwa ..mwili mmoja huwa hauji siku ile mnaposimama mbele ya shehe,padri au mchungaji...hawa watumishi wakitamka ninyi ni mwili mmoja ule mwili huwa hauji pale...ili kuufikia mwili mmoja ni safri ndefu sana inayoanzia kwenye uchumba na hukamilishwa miaka mingi sana mkiwa ndani ya ndoa..vinginevyo unaweza kuwa unapaka rangi upepo ukiwa ndani ya ndoa na mwisho wa siku ni kuachana tu

smile, nenda nae taratibu utamjua tu kama anakufaa kumkabidhi maisha yako yaliyobaki hapa duniani..chunguzaneni kwakushibisha nafsi zenu na si kukomoana..

kingine ni kwamba sex(kufanya mapenzi) tendo hili hwa ni ukamilisho tu wa kile kilichojengwa kwenye msingi wa ''kupendana'' kusex na mtu hakuna mahusiano na kusema huyu ananipenda au la...vingenevyo unaweza kupata matatizo kama insomnia na stockholm syndrome amabyo mwisho wake sana huwa ni eutanesia death.
 
kwani wewe mwanamke hawezi kuja kwako ukakaa nae bila kusex?
Inategemea na mwanamke mwenyewe....kama naishi mwenyewe, halafu mwanamke mwenyewe "namtamani/anatamanisha/anatega" siwezi mwacha!
 
Nashukuru sana kaka ulivoniandikia hapa
Huwa namuomba sana mungu kama inawezekana anionyeshe keshoitakuwaje
Just imagine unasalitiwa na mpenzi wako uliekuwa unampendakuliko hata wewe mwenyewe na kumuaminina rafiki yako mpenzi uliekuwa unamuamini
Huu unafiki nilioushuhudia kwa hawa watuwawili kiukweli umeujeruhi sana moyowangu.yaani nashindwa kumuamini mtu yeyote sometimes huwa najihisi nina mkosiduniani humu.why m,e
 
tulido tena sana tu na akaniacha,na huyu nifanye nae tena akiniacha/ nitakuwa nimemegwa na wangapi jamani mimi?
Ukifikiria hivyo huta kaa uolewe wewe! Watu wanachukua changu doa wanaoa afu we unasema nini? Kumegwa na wengi au wachache sio kitakachokupa mume, bali ni mungu tu. Tafuta movie inaitwa PRETTY WOMAN ya RICHARD GEERE maybe itakufungua macho na masikio na akili kwa ujumla.
 
Kwanza inabidi uanze kumwamini. Kwani ktk mahusiano yenu nadhani mko na muda sasa...kikubwa jua ya kwamba kusex si njia sahihi ya kujua kama anaupendo wa dhati kwako au wewe kwake ni matendo, nadhani mpk kufikia hapo mlipo kwa vyovyote vile amekidhi vigezo ambavyo wewe unavihitaji hivyo basi kikubwa mwamini then songa mbele, lakini Mungu nae apewe nafasi kubwa ktk hilo. Barikiwa sana!

Love and compassion are necessities, not luxuries. Without them humanity cannot survive. ....Dalai Lama

tunakushauri uwe mvumilivu mpaka siku ya ndoa. kama ni mtu anayekupenda kweli apaswa kukuheshimu kwa ajili ya kusimamia heshima ya kutokujirhisisha kwake, kama ni mshenzi atakudharau na kwenda kwa wapita njia na kama ikitokea hivi ni heri kuachana naye kuliko kumkubali huku ukjua fika kuwa ni mkware.
 
kupeana ni kikoa bibiweeeeeee...km umempenda na unataka ile huduma mupemupe ila kwa step...ANGAZA KWANZA
na ukimpa leo usimpe tena kesho....umchek spid zake km anapunguza mawasiliano au ..na vtu vngnevyo pia umchek

usitumie hstoria kumhukumu kaka wa watu...km unamtaka,umempenda mpe haina haja ya kumnyima kisa umuamin et john alinifanya ivi......ukampe leo sawa mama/
tena venue ulipie wewe afu umwte as suprise...usiogope cost asi unajua jinsi ya kurudsha gharama?
utatumia lak ivi lakin unampiga mzinga wa laki9...hahah hahahahaaaaaaaaaaaaaaa:peep:
Rose we kiboko,maana kwa twisheni hii wanaume tumekwisha,kumbe ni 'kila mla huliwa'?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom