Ninamiliki kadi saba za vyama tofauti

Ninamiliki kadi saba za vyama tofauti

fm radio

Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
81
Reaction score
36
Habari wadau!

Mimi nimekuwa mmoja wa watu wanaofuatilia kwa karibu siasa za Tanzania.Kutokana na ukaribu huo nimejikuta namiliki kadi za vyama mbali mbali na kujikuta nafikisha jumla ya kadi saba za vyama tofauti vya kisiasa.

Kadi yangu ya kwanza ilikuwa ya CHADEMA niliipata mwaka 2008 kupitia operation Sangara mkoani Mwanza na alinipa ndugu Zitto Kabwe.

Kadi yangu ya pili ilikuwa ya TLP ambayo nilipewa mh. Agostino Mrema ambapo siku hiyo ilikuwa kama utani vile na jamaa zangu na tukajikuta utani wetu ukiishia mtaa wa Jogoo,Magomeni katika ofisi ya TLP.

Kadi yangu ya tatu ni ya CUF ambayo niliipata kiutani utani tena mwaka 2013 ambapo tuliliona gari la ndugu Mtatilo likiwa sheli na yeye akiwa chini tukamfuata na baadae tukaishiwa kupewa kadi,Magengeni Bunju.

Kadi ya nne ni ya CCM hii tulikuwa tunabisha ni nani mwenyekiti wa CCM mtaani kwetu na mwisho tukajikuta tupo kwake na kupewa kadi.

Kadi ya tano ni ya ACT-Wazalendo,hii nilipewa tu.

Kadi ya sita ni ya UDP.

Kadi ya saba ni ya kupewa ya NCCR-Mageuzi.
 
Mie nina za vyama viwili Nina ta CCM niliyoipata mwaka 1980 nikiwa Makutupora JKT na Ya Chadema niliyoipata mwaka 2004. Sikuirudisha ile ya CCM kwa kuwa nilitaka kutunza historia yangu, Nina kadi ya TANU Youth League niliyoikata mwaka 1973 na Baadaye ya Umoja wa Vijana niliyoika nikiwa form six JKT. Nilizinunua kwa pesa hivyo sikuzirudisha hadi leo. Hata hivyo uanachama wangu wa CCM ulikufa rasmi siku nilipoingia Chadema.
 
Siku ukitaka kurudi unalipia ada tu? Watanzania bana chafya kweli.

Ni ukumbusho gani kwenye hiyo kadi ya kishetani unaoutaka?
 
Wenzako wanajivunia kuongeza kadi za MAGARI wewe unafurahia kuwa na makadi ya vyama mabovu (save for vyama vya UKAWA)
 
Habari wadau!

Mimi nimekuwa mmoja wa watu wanaofuatilia kwa karibu siasa za Tanzania.Kutokana na ukaribu huo nimejikuta namiliki kadi za vyama mbali mbali na kujikuta nafikisha jumla ya kadi saba za vyama tofauti vya kisiasa.

Kadi yangu ya kwanza ilikuwa ya CHADEMA niliipata mwaka 2008 kupitia operation Sangara mkoani Mwanza na alinipa ndugu Zitto Kabwe.

Kadi yangu ya pili ilikuwa ya TLP ambayo nilipewa mh. Agostino Mrema ambapo siku hiyo ilikuwa kama utani vile na jamaa zangu na tukajikuta utani wetu ukiishia mtaa wa Jogoo,Magomeni katika ofisi ya TLP.

Kadi yangu ya tatu ni ya CUF ambayo niliipata kiutani utani tena mwaka 2013 ambapo tuliliona gari la ndugu Mtatilo likiwa sheli na yeye akiwa chini tukamfuata na baadae tukaishiwa kupewa kadi,Magengeni Bunju.

Kadi ya nne ni ya CCM hii tulikuwa tunabisha ni nani mwenyekiti wa CCM mtaani kwetu na mwisho tukajikuta tupo kwake na kupewa kadi.

Kadi ya tano ni ya ACT-Wazalendo,hii nilipewa tu.

Kadi ya sita ni ya UDP.

Kadi ya saba ni ya kupewa ya NCCR-Mageuzi.

Hujajitambua na bado hujui unachokitaka
 
Mfano tu wewe ni mwanamke na vyama ni wanaume... je tungekuiteje?
 
Blaza niazime hata mbili sina hata moja mimi
 
Habari wadau!

Mimi nimekuwa mmoja wa watu wanaofuatilia kwa karibu siasa za Tanzania.Kutokana na ukaribu huo nimejikuta namiliki kadi za vyama mbali mbali na kujikuta nafikisha jumla ya kadi saba za vyama tofauti vya kisiasa.

Kadi yangu ya kwanza ilikuwa ya CHADEMA niliipata mwaka 2008 kupitia operation Sangara mkoani Mwanza na alinipa ndugu Zitto Kabwe.

Kadi yangu ya pili ilikuwa ya TLP ambayo nilipewa mh. Agostino Mrema ambapo siku hiyo ilikuwa kama utani vile na jamaa zangu na tukajikuta utani wetu ukiishia mtaa wa Jogoo,Magomeni katika ofisi ya TLP.

Kadi yangu ya tatu ni ya CUF ambayo niliipata kiutani utani tena mwaka 2013 ambapo tuliliona gari la ndugu Mtatilo likiwa sheli na yeye akiwa chini tukamfuata na baadae tukaishiwa kupewa kadi,Magengeni Bunju.

Kadi ya nne ni ya CCM hii tulikuwa tunabisha ni nani mwenyekiti wa CCM mtaani kwetu na mwisho tukajikuta tupo kwake na kupewa kadi.

Kadi ya tano ni ya ACT-Wazalendo,hii nilipewa tu.

Kadi ya sita ni ya UDP.

Kadi ya saba ni ya kupewa ya NCCR-Mageuzi.
Ok poa
 
Kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa kwa sasa ni upumbavu tu...

Zamani ukiwa na kadi ya chama (CCM) kulikuwa na manufaa maana kuna wakati ilitumika kama kitambulisho...

Wenye kufaidika na kadi za vyama kwa sasa ni wale tu wenye madaraka na wanaotarajia 'kupewa' madaraka...
 
sina kadi ya chama na sina mpango wa kuwa nayo....

kwenye uchaguzi nachagua mtu na sio chama.
 
Back
Top Bottom