Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

Wale vigeu geu hawapiti ....kata funua wote tupa kule ndio mwisho wao kisiasa maana wana price tag
 
Mm nilikuwa nataka nikatie nia kijijini kwetu ili nipunguze njaa mjini, nimekutana na maprofessor 8, akiwemo prof Mhongo

Ikabidi nilidhike tu na shida zangu hamna jinsi
 
We jamaa mbona Juzi ulivyoulizwa kwenye kundi la Wana Buyungu Kama unatia nia kugombea Ubunge Ulikataa? Badala yake, ulivyoona unaumbuliwa kwa undumila kuwili wako ( rejea picha iliyokufanya ujiondoe kundini) ukaamua uleft?Kwa hiyo umeona busara kutia nia Jamiforum ambako ndugu zako wa Kakonko wenye account hapa ni wachache, kuliko kwenye kundi? Au ndo pepo la kushindwa lakuandama.
Anyway, kwa Sasa hauna chako, Mbunge Ni Dr. Pius Kagoma, zao la CCM asilia.
 
Hata kabla ya mkia haujaota unatamani ubunge? Jina lako litakatwa kabla ya saa nne asubuhi. Kama uliambulia baiskeli au bodaboda kwenye ule muda ndio imetoka!
 
Alifanya nini? Mie ndo kwanza naona hilo jina..
Huyu dogo aligombea ubunge kupitis cdm na taarifa za kiintelenjesia zinasema alishinda ubunge ila kutokana na awamu hii mkurugenzi akaogopa kumtangaza cha ila dogo alishinda na aliwakimbiza Sana ccm wananchi walimkubali sana but from no where dogo si akaunga mkono juhudi saa hv kawa Kama mtu wa nyikani ccm hawamtaki kurudi upinzani anaona aibu
 
Back
Top Bottom