Ninakupenda(I Love YOU)

Mshika pembe atabaki kushika pembe tu....wakamuaji wataendelea kukamua tu

Clearly hujawahi kufuga!

Enzi hizo nikiwa mdogo, kazi yangu ilikuwa kufagia samadi kisha kaka yangu anakuja kukamua. Wakati anakamua kwa yule ng'ombe mtata basi mimi nilikuwa nampa pumba ili atulie.

Siku moja kaka akaugua, haikua serious sana lakini hakuweza kukamua hivyo mshika pembe mimi (mfagia samadi) nikaingia kukamua!
 

“Every heart sings a song, incomplete, until another heart whispers back. Those who wish to sing always find a song. At the touch of a lover, everyone becomes a poet.”
― Plato
 
“Every heart sings a song, incomplete, until another heart whispers back. Those who wish to sing always find a song. At the touch of a lover, everyone becomes a poet.”
― Plato


Hivi hii ina preceding statement yake!?? Hakika sikuwa nafahamu, nashukuru mkuu!

"Every heart sings a song, INCOMPLETE, until another heart whispers back..."

Kina RRONDO na Kaboom bado wako hapa kwenye incomplete songs.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…