Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
- Thread starter
-
- #21
Well come back Mrembo by Nature
thamaki thi kitu kitu mchudhi
^^
Asante kwa copy Mrembo by Nature karibu mjini tuzisake,ujue ulinipita hapa arusha.
Anyway nisi seme mengi kwani kijiwe cha chit chat si mdau wake tena..karibu MMU
^^
Halafu we mgomvi siku hizi?? mira uremanya kimpare....Pole sana my dia, nadhani hata vigimbi vimekuota maana milima ya kwenu si haba.
Asnte mpz
Halafu we mgomvi siku hizi?? mira uremanya kimpare....
nakijua ila sio sana, kwani vipi unataka unipeleke vudee nini?
​mi nishafika usangi nakusubiria wewe tu!!Haha...ushaanza uchokozi tayari
Alikuwa sehemu inaitwa Vunta...mi kwetu Vudee...hehe!
Afu ukumbuke bado nazichanga ili twen'zetu kuleeee
Mrembo by Nature, wahunduka hata wethiteta... iki ekupokee ubungo ni ani? tutekie kweri?
tutonga kwa bajeti tuhunduke kwa balanthi
Karibu sana,sasa naomba nikuweke mjini,gharama zote,usafiri,chakula,malazi,shopping kila jumamosi,kusuka,nguo etc nipo tayari kubeba majukumu ila shart no 1 unibebee mtoto wangu kwa miezi tisa
namie nimekumic weweeee......
nilifichwa na kimadaaaaaaaaaaaaaaaa
mi ndio usipime
hivi upogi?umepotea sana!!
nilifichwa na kimadaaaaaaaaaaaaaaaa