Ninakemea siasa chafu na propaganda dhidi ya kamanda Sirro na Jeshi la Polisi

Ni juzi tu huyu Mama enu amesema jeshi la Sirro linabambikia watu kesi na kuwatesa mahabusu hadi kusababisha vifo.

Mleta mada sisi wananchi hatuna cha kumshukuru huyo Sirro kwasababu analipwa mshahara kwa kodi za wananchi wote na sio kodi za nyie mataga pori peke yenu.
Pambaf na nusu.
 
Wambie Polisi waache dhuruma
Hasira ya Mungu ni mbaya, wambie waache kuonea watu.
 
Mbowe kashitakiwa kwa kufadhili laki 6 wanasema mbona ndogo? Sasa hivi wanahamasishana kuchanga hela mchana kweupe kupitia CRDB hizi zitatumika kwa ugaidi huohuo. Hmohumo zitapitishwa hela chafu za wizi, utapeli, za kodi, za rushwa, za umalaya, nk, zitaingia CRDB kama "michango ya hiari", hapo utakuta hela chafu imeshafuliwa laundry.
 
Akina country wide nyie ndio wale wambabikiaji ukisema yanayolalamikiwa hayana uzito utakuwa mwongo na mchochezi na unazidisha hasira za watu na kuibua wengine kwa hasira.
Nyie hamjielewi na wapuuzi tu
 
kwa hiyo wewe na Raisi SSH wewe unajua zaidi,au ndio kujitoa ufahamu
 
Kwa hiyo unamkosoa Rais Samia aliyelitaka Jeshi la Polisi libadilike kwa vile utendaji kzii wake umekuwa ukiwakwaza wananchi?

Au wewe akili ni kidogo, kusikia shida, hata ukisikia huwa huelewi? Rais Samia hivi karibuni amesema nini kuhusu Jeshi la Polisi?
 
Tanzania inahitajibpolisi kama zilivyo nchi zingine zote.
Kihitaji polisi haina maana jeshi hili la polisi. Tunahitaji polisi kwenye weledi na sio hawa wa Siro wanao hangaika aidha kuiba au kula rusha na au kutetea CCM Kila uchao na kuumiza yeyote anayetaka mazingira bora ya haki ktk nchi.
Ukweli ni kuwa anae lipenda jeshi hili ni mtawala au kiongozi wa Ccm ambae anarahisishiwa kukandamiza asio wa penda na jeshi hili. Mtu mwingine yeyote haweza kuliunga mkono jeshi hili.
Kifupi ni jeshi kwa faida ya Ccm na watawala wake huku likiwa ni kero na maumivu kwa watanzania wengine wote.
Jeshi hili kiutendaji hakun tofauti na NEC.
 
Sirro hafai . ingefaa akapumzika.
 
Huna point.
 

kazi yako unafanya 24 hrs,unawezagoma na boss akaamka asubuhi kaajiri watu 8 wazuri kukuzidi.

hizi shughuli nyingine za watu waachieni wenyewe,maana kugoma ni kutangaza vita,na kuuza roho za watu.
 
Uzuri ni kuwa malalamiko ya maraia yalisemwa tena hadharani na The Top Boss.
 
Sawa msemaji wao.
kazi yako unafanya 24 hrs,unawezagoma na boss akaamka asubuhi kaajiri watu 8 wazuri kukuzidi.

hizi shughuli nyingine za watu waachieni wenyewe,maana kugoma ni kutangaza vita,na kuuza roho za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…