Ninajivunia kuwa Chadema

Ninajivunia kuwa Chadema

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Mwalimiu wa shule ya msingi alikuwa anawaeleza wanafunzi wake kuwa yeye ni CCM damdam na amefurahi kuwa raisi aliyepo madarakani ni kutoka CCM.
Akawataka wanafunzi wake ambao na wao ni CCM kama yeye wanyanyue mikono. Wote wakanyanyanyua mikono isipokuwa mmoja tu, Maiko.

MWALIMU: "Kwa nini wewe hukunyanyua mkono?"
MAIKO: "Sikunyanyua kwa sababu mimi ni Chadema na ninajivunia kuwa Chadema".
MWALIMU: "Lakini kwa nini ukawa Chadema".
MAIKO: "Kwa sababu baba, mama, kaka na familia yangu yote ni Chadema".
MWALIMU: "Hakuna sababu uwe Chadema kwa sababu tu familia yako ni Chadema. Kama familia yako yote wangekuwa wezi, wabaishai au wala rushwa?
MAIKO: "Kama ni hivyo sote tutakuwa CCM".
 
Ww ww jamani mmh,wakisikia utazimishwa,ha ha ha! Funny
 
Ukweli mtupu!
 
Back
Top Bottom